Holly Rich
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 901
- 1,428
- Thread starter
-
- #61
Mkuu hapa nimepungua nilifikisha 94 kiasili Mimi Ni mwembama... Ila Huwezi amini naishi na Amani ya Kimungu ndani yangu ndiyo inaniwezesha kuishi... Sitaweza kukonda kwa Mawazo hata kidogo situation nimemwachia Mungu Mwenyewe... Shida zangu kwake Ni punje tuuHuna kazi, huna hela, huna nyumba na una deni kubwa la 2.4M sasa hizo kilo 84 umezipataje??
Kwa hali uliyo nayo ilitakiwa uwe na kilo 50 kushuka chini!!
By the way kwa kilo hizo ulizo nazo (84kg) haziendani kabisa na urefu wako (1.7m) yaani unaonekana ni ki Lemutuz kingine mjini na sidhani Kama utakua na uwezo wa kumpiga mbupu na kumridhisha huyo unaemtafuta humu kwa ubonge nyanya huo.
Zaidi sana utacreate matatizo mengine tu Kama kuchapiwa nje ukufe kwa presha siku sio nyingi
Halafu Siyo mnene Kama unavyolinganisha... Ni mifupa tuu mizito... Kuhusu kuchapiwa Ni tabia ya Mtu hata uweje mtu atafanya anavyotaka... Haya Maisha Ni kumwachia Mungu atulinde kwa Hali tuliyofikia hata ufanyeje Bila nguvu na msaada wa Mungu hakuna tutakachoweza..Huna kazi, huna hela, huna nyumba na una deni kubwa la 2.4M sasa hizo kilo 84 umezipataje??
Kwa hali uliyo nayo ilitakiwa uwe na kilo 50 kushuka chini!!
By the way kwa kilo hizo ulizo nazo (84kg) haziendani kabisa na urefu wako (1.7m) yaani unaonekana ni ki Lemutuz kingine mjini na sidhani Kama utakua na uwezo wa kumpiga mbupu na kumridhisha huyo unaemtafuta humu kwa ubonge nyanya huo.
Zaidi sana utacreate matatizo mengine tu Kama kuchapiwa nje ukufe kwa presha siku sio nyingi
Asante kwa kujaliUsijali! Maisha ni safari ndefu, ukipata mwanamke muwazi kama wewe mtatoboa. Kwa kuwa maisha ni mchezo, mtafundishana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwaDah kwa kweli Mnene simuwezi madeni tungechanganya ingekua 3.6 maana yake kila siku tunalipa elfu 10 kwa mwaka tumemaliza... Basi tena
Hili Deni dogo Sana Mkiwa na Nia Ni jepesi mno kunimaliza... Mungu akiwa upande wenu... Si umeona kwa mfano Huo tuu mwaka mmoja kwishney[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa
Maden umetsha mkuu[emoji23]
Hili Deni dogo Sana Mkiwa na Nia Ni jepesi mno kunimaliza... Mungu akiwa upande wenu... Si umeona kwa mfano Huo tuu mwaka mmoja kwisney[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa
Maden umetsha mkuu[emoji23]
Pole boss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Boss wa Nini sasa
Ehh kwa maaneno kwel linakuwa kwshney sasa kasheshe n practically[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili Deni dogo Sana Mkiwa na Nia Ni jepesi mno kunimaliza... Mungu akiwa upande wenu... Si umeona kwa mfano Huo tuu mwaka mmoja kwisney
hapo kwa
Maden umetsha mkuu[emo
Nikwambie Kitu Dada yangu... Hakuna kitu kigumu ukiwa na Nia ya dhati.. Hiyo fedha unaweza kuimaliza kuilipa hata ndani ya miezi mitatu... Kwenye maisha tunateleza ili tujifunze Kuinuka na nguvu kubwa... Mungu anasema usiogope... Tusiogope... Ukiniona barabarani huwezi amini Ni mtu mwenye shida zote hizo. Never Stop the race....!!!!Ehh kwa maaneno kwel linakuwa kwshney sasa kasheshe n practically[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unafanana na mimi mkuu!Nina miaka 55 na vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe.
Dushe kiduchu linaendana na kupatana sana na English figure!πππππ dushe lenyewe sasa kiduchuuπββοΈ
Ila mimi ni tipwa tipwa kwahiyo halinifaiπDushe kiduchu linaendana na kupatana sana na English figure!πππ
Nikuumbue kwa kutupia picha yako ya English figure hapa ambayo nimeidownload kutoka kule kwenye uzi wa selfie na kuiifadhi vizuri kwenye simu yangu?πππIla mimi ni tipwa tipwa kwahiyo halinifaiπ
Mimi sijawahi kutuma picha π shauri yakoNikuumbue kwa kutupia picha yako ya English figure hapa ambayo nimeidownload kutoka kule kwenye uzi wa selfie na kuiifadhi vizuri kwenye simu yangu?πππ
π€£π€£π€£π€£Mimi sijawahi kutuma picha π shauri yako
Umri: 40
Elimu: Diploma
Uzito : 84kg
Urefu: 1.7m
Kazi: Sina
Hela: Sina
Nyumba: Sina
Watoto: Watatu Ke1, Me2
Mke: Sina
Ujuzi: Umeme, useremala, na ufundi vyuma.
Madeni: Milion 2.4
Mengineyo... Situmii pombe, sigara Wala bangi... Nilishawahi Kutumia Miaka 18 iliyopita. Napenda kujishughulisha kazi za mikono za ujuzi... Kujisomea vitabu... Nina ndoto kubwa Sana Lakini sijaweza kuzitekeleza... Ukija tutasaidiana jinsi ya kuanza na Kufanikisha ndoto zetu.
Kuhusu Mapenzi Nina wivu Sana sipendi umalaya.. Mwanamke nayemuhitaji awe Mjane au aliyezaa angalau watoto wawili..Apende kujishughulisha.. Umri wake aanzie 32-43 awe mwembamba asiwe mnene tafadhali... Dini Awe Mkristo.. Mengine tutakamilishana
Ukipendezwa nami karibu PM au gddtechnicians@gmail.com. Blessed