Holly Rich
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 901
- 1,428
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upo kama mimi mkuu!Nina 55 na vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe
We jamaa....Upo kama mimi mkuu!Nina 55 na vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe
Mkuu Hali Siyo Sijakamilika Bila ubavu wa pili...Yaani uwe na mtu kisa upo mpweke..Haupo serious.
Asante kwa kujaliNimependa tu vile uko mkweli, unluckily sina sifa hata moja hapo, walaqhi' ningekukujia.!
Unachokiomba utakipewaUpo kama mimi mkuu!Nina miaka 55 na vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe.Hela,kazi,nyumba na utajiri ni hakuna.
Una haribu Uzi wa mwenzako hujaachaga tuUpo kama mimi mkuu!Nina miaka 55 na vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe.Hela,kazi,nyumba na utajiri ni sina.
Sasa nisiandike hisia zangu?Una haribu Uzi wa mwenzako hujaachaga tu
Sidhani Kama Kuna sehemu nimeonesha Jeuri yoyote.. plz Kama ipo nisaidie Sijakamilika...Umri wote huo bado unajeuri mbuzi wakati humiliki rasilimali vitu hata moja,,,
Niliwahi kuwa na familia yenye Hofu ya Mungu, amani, Baraka na furaha tele kwa Miaka nane Mkuu, Usingeamini kama ningefika Huku... Only God knows shetan alichofanya..Dah mkuu Mungu akuongoze,but kwanini usikamate mmoja wa mama za hao wanao ukasonga naye?
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππ kwenye madeni hapo mzeee, umewabadili mawazo.
Hahahah babu zetu mnafrahishaUpo kama mimi mkuu!Nina miaka 55 na vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe.