Nimechoka kuwa singo

Hahaa kijana weka vigezo
Mambo vipi wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nimechoka kuwa peke yangu, natafuta mwanamke yeyote yule, ilimrad tupendane sitaki usumbufu, karibuni atakae kuwa tayari.
 
Dogo, hizi ID zimeficha mengi humu unaweza kukutana hata na bi mkubwa wako ikawa aibu bure, nakusaidia tu, weka tangazo kwenye nguzo za umeme hapo mtaani kwenu wanawake wapo wengi.
Hahahahahahahahahahahahahaha
 
Nyuzi za watu mbwa wengine wanakuja kupiga stori zao mamaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…