Unataka kunikumbushia enzi za Magu, kuna Mwamba alisema alimaliza Chuo na Hana ajira Hivyo anaitaka Serikali itoe ajira. Jiwe akamuuliza maswali Matatu tu, La kwanza ulisoma Chuo kikuu kipi Tz?, La pili ulisoma kozi gani?, La tatu Ulipata GPA ya ngapi?.Bachelor of education in policy planning and management ?? Chuo gani hio ?
Jamaa aliuaUnataka kunikumbushia enzi za Magu,kuna Mwamba alisema alimaliza Chuo na Hana ajira Hivyo anaitaka Serikali itoe ajira.Jiwe akamuuliza maswali Matatu tu,La kwanza ulisoma Chuo kikuu kipi Tz?,La pili ulisoma kozi gani?,La tatu Ulipata GPA ya ngapi?.Ninachokumbuka hadi leo ni kwamba yule Jamaa alisema alipata GPA ya 32, maswali mengine usiniulize jinsi alivyojibu.
Kama zipi mkuu, kilichopo kwenye ualimu ni kwamba una muda mwingi lkn hauna pesa, na kwa hapa nilipo nakosa hata fursa ya kutunga wala ku mark maana sina somo rasmi.Fursa hata kwenye ualimu zipo tatizo ulishajikalilisha kuwa haupendi ualimu. Kuwa positive na mazuri yatakuja.
Ila upande mwingine nakuelewa ni vigumu kufanikisha usichokipenda. Tumia salary Kusoma ukipendacho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwamba tutamkumbuka kwa mengi aise, yaani jamaa hakutegemea kuulizwa vile.Unataka kunikumbushia enzi za Magu,kuna Mwamba alisema alimaliza Chuo na Hana ajira Hivyo anaitaka Serikali itoe ajira.Jiwe akamuuliza maswali Matatu tu,La kwanza ulisoma Chuo kikuu kipi Tz?,La pili ulisoma kozi gani?,La tatu Ulipata GPA ya ngapi?.Ninachokumbuka hadi leo ni kwamba yule Jamaa alisema alipata GPA ya 32, maswali mengine usiniulize jinsi alivyojibu.
Kama kuna mashamba karibu Lima sana! Vitu vingine havihitaji complications.Kama zipi mkuu, kilichopo kwenye ualimu ni kwamba una mda mwingi lkn hauna pesa, na kwa hapa nilipo nakosa hata fursa ya kutunga wala ku mark maana sina somo rasmi
[emoji23][emoji23][emoji24][emoji23] Yule ndo Jiwe mwenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwamba tutamkumbuka kwa mengi aise, yaani jamaa hakutegemea kuulizwa vile.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa aliua
Tumia muda uliokuwa nao kutengeneza pesa. Kama muda upo jaribu kuwa na multiple sources of incomeKama zipi mkuu, kilichopo kwenye ualimu ni kwamba una mda mwingi lkn hauna pesa, na kwa hapa nilipo nakosa hata fursa ya kutunga wala ku mark maana sina somo rasmi