Nimechoka kupumzika, nahitaji kazi

2018

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
546
778
Habari Wakuu,

Mimi ni kijana mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa tatu, Agricultural Engineering-SUA

Nipo mbeya kwa sasa kutokana na likizo-Corona, Natafuta kazi yoyote Ile, ili mradi nipate chochote kitu, ni mwaminifu, mchapakazi.

Natanguliza shukrani za dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda baa ya jirani jitolee kutengeneza hand sanitizers
 
Back
Top Bottom