Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 198
Jenga banda la mbao Kama yale ya kuku ezeka hizo bati piga floor na hiyo simenti hamia .case closedWadau hali yangu ngumu sana nimejichanga nataraji kujenga kwa tofali za kuchoma ambazo hazijachomwa Nina sement 10 bati 20 MBAO 30 uwezo wa tofali za kuchoma sina je nitamudu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una eneo kubwa,fanya kama kunikatia/kuniuzia kipande kidogo ili uweze kuendelea na ujenzi wakoWadau,
Hali yangu ngumu sana nimejichanga natarajia kujenga kwa tofali za kuchoma ambazo hazijachomwa nina sement 10 bati 20 mbao 30 uwezo wa tofali za kuchoma sina, je nitamudu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau,
Hali yangu ngumu sana nimejichanga natarajia kujenga kwa tofali za kuchoma ambazo hazijachomwa nina sement 10 bati 20 mbao 30 uwezo wa tofali za kuchoma sina, je nitamudu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanja unacho?Wadau,
Hali yangu ngumu sana nimejichanga natarajia kujenga kwa tofali za kuchoma ambazo hazijachomwa nina sement 10 bati 20 mbao 30 uwezo wa tofali za kuchoma sina, je nitamudu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ushauri wangu hapo kwenye kiwanja chako nenda kwa pembeni chimba msingi wa chumba Kimoja na inua ukuta baada ya hapo tumia hizo mbao na bati kupaua hicho chumba baada ya hapo weka dirisha lenye nondo na nyavu na mlangoni weka geti la kufunika maana ukiweka mlango wa mbao vibaka watabomoa,pembeni ya hicho chumba chimba shimo tafuta pipa la bati toa mifuniko chini na juu litumbukize hapo kwenye shimo kwa juu weka mbao na mbembeni zungusha mabao na turubahi hapo choo na bafu kimekamilika baada ya hapo hamia zako vitu vingine utafanya ukiwa hapo na sasa utakuwa na kwako.
We jamaa kiboko, wanaume wote wangekuwa hivi nadhani nchini kungekuwa na maendeleo sana...hongera zako... Tupo pamoja mkuuMkuu ushauri wangu hapo kwenye kiwanja chako nenda kwa pembeni chimba msingi wa chumba Kimoja na inua ukuta baada ya hapo tumia hizo mbao na bati kupaua hicho chumba baada ya hapo weka dirisha lenye nondo na nyavu na mlangoni weka geti la kufunika maana ukiweka mlango wa mbao vibaka watabomoa,pembeni ya hicho chumba chimba shimo tafuta pipa la bati toa mifuniko chini na juu litumbukize hapo kwenye shimo kwa juu weka mbao na mbembeni zungusha mabao na turubahi hapo choo na bafu kimekamilika baada ya hapo hamia zako vitu vingine utafanya ukiwa hapo na sasa utakuwa na kwako.
NB.siku mpunga ukikutembelea ndio unajenga sasa nyumba uhitakayo,unaweza pitia uzi hapo chini kupata dondoo kidogo[emoji116]Naweza kuweka tank la maji kwenye chumba kimoja?
-Ndumilakuwili-
[emoji106]We jamaa kiboko, wanaume wote wangekuwa hivi nadhani nchini kungekuwa na maendeleo sana...hongera zako... Tupo pamoja mkuu
Nahisi kungekuwa na slums kama za kibera.We jamaa kiboko, wanaume wote wangekuwa hivi nadhani nchini kungekuwa na maendeleo sana...hongera zako... Tupo pamoja mkuu