Nimechoka Habari ya ITV

tatizo vyombo vya habari vya tanzania wanaigana kila kitu hawako tofauti, ukianzia Channel 10, clouds,tbc,star tv,itv,azam wote habari zao sawa..
Kwanini wasiige kwa wenzao kina cnn, fox, nbc,msn

Vyanzo vyao vya habari vinafanana, waandishi wote wanakimbilia kupata habari sehemu moja. Mikoani unakuta nako ni hivyo hivyo na wakati mwingine mtu mmoja anawakilisha vyombo vya habari zaidi ya vitatu hasa hawa wa kujitegemea wao ni kuuza habari tu, kote kote. Unategemea nini?

Nawapongeza wanaoandika makala angalau wanajitegemea ingawa nao wana kasoro zao,.... kutokumuudhi au kuandika kinyume na matakwa ya bwana mkubwa aliyewaajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…