Nimechoka Habari ya ITV

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,881
Reaction score
3,661
ITV mnakera aisee....kila siku habari JPM au Shein...aisee nimechoka....ntaanza kujisomea habari JF saa mbili nahamia TV-E kuchek Top 30 !![emoji57][emoji57]
 
Usipoangalia ITV utaangalia tv gani, utaangalia tv inayotangaza uongo ya TBC?
 
ITV mnakera aisee....kila siku habari JPM au Shein...aisee nimechoka....ntaanza kujisomea habari JF saa mbili nahamia TV-E kuchek Top 30 !![emoji57][emoji57]
Haya kaogeshe mtoto wa Joyce Mukya au kawe houseboy wa Wema Sepetu
 
Hahahaah pole mkuu...maisha ni uchaguzi

ITV wamepwaya hasahasa kwenye habari za kimataifa...wanaishia maeneo ya hapa Afrika mashariki tu
 
Mimi natafuta wale watundu wa kuongeza chanel kwenye decoda nijikite zaidi ktk muvie, taarifa ya habari ni Azam two.
 
Mimi nataka kujiweka mbali na vyombo vya habari sasa hivi kila ntapogeukia utaskia Mh. John pombe Magufuli
Hivi kwan ni lazima kulitajataja hili jina???
Its boring kila baada ya dkk mbili limetajwa.
 
azam two taarifa yao ya habari ndio pekee yenye mvuto hivi sasa. itv imebaki mazoea
 
Clouds Media ipo kwa ajili ya kutupa furaha,
kaburudike nao.
 
Mm nmechoka kuskiliza eat
Earadio
 
Habari zao si zilikuwa za migogoro ya wakulima na wafigaji tu magu aliwazuia wataandika nini
 
Mengi anajistukia sana kwa namna alivyokuwa wakati wa Jk japo Jk aliamua kumpuuzia!


Awamu ya Nne ITV ilikuwa Kama TV rasmi ya Chadema kwa hiyo anajaribu kufukia Mashimo ya 2005-2015 kwa kujipendekeza kupita kiasi

Wakati wa Jk ilikuwa kawaida sana kwa Huyu Mzee kuitisha Press conference kumpiga Vijembe Jakaya!

Aliwahi kuita Vyombo vya Habari na kudai kapata Taarifa za Uhakika kuwa Ikulu imepanga kumuua Japo Jion hiyo baada ya Conference anaonekana Ikulu kwny Dhifa ya Kitaifa akigonga Cheers na Jk!

Salva Rweyemamu alipoulizwa akajibu kwa kifupi Mtu anaehisi anataka kuuawa anaweza kuitikia Mwaliko wa Wauaji na akashiriki Mpaka kwny Msosi?

Siku hizi kaaufyata TV yake imekuwa Kama Radio Uhuru kumsifu Rais na Serikal yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…