Nimechoka Basi!!...

wewe waonekana ni mpole saana... Elewa kwamba mapenzi ya kileo si ya mwaka 47.... Ukauzu wahitajika wakat mwingne...kwani kama utaendelea na upole wako utasumbuliwa na wengi.
Wakat mwingne unamtia makofi..
 
Umeandika harakaharaka sana bana ngoja nirudie kusoma tena.
 
wewe waonekana ni mpole saana... Elewa kwamba mapenzi ya kileo si ya mwaka 47.... Ukauzu wahitajika wakat mwingne...kwani kama utaendelea na upole wako utasumbuliwa na wengi.
Wakat mwingne unamtia makofi..
teh teh..,kama unanijua hatakufoka siwezi kupiga ndiyo kabisaa..ahsante kwaushauri wako..
 
Yaani wadada, tukipata wapenzi wa kweli huwa hatuwaappreciate mpaka tupate magume gume, yatutende ndipo tunapata akili!

Kama ni stratergy shetani anayo, yaani kayaharibu sana mahusiano. Mkaka akiwa mzuri, mdada kichomi; Mdada akiwa mzuri, mkaka kichomi!

Tuna bahati mimi na my Eiyer yaani wote ni 1st class!
JF model couple!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Fanya maaamuzi magumu, sababu ya wewe kuendelea kuumia haipo hata chembe! Na ina onekana wewe ndio unampenda yeye hakupendi maana kama angekuwa ana kupenda asingekuwa ana kuumiza kila siku na kukwambia usimtafute. Fanya maamuzi magumu.
 
mleta mada ni kweli unapenda. Lakini ni kweli kwamba HUPENDWI. Anza upya fasta. The sooner the better.
 
huyo mpenzi ulimpenda kabla hujamuona? unajua nashindwa kuelewa mtu anasema nashindwa kumwacha sababu nampenda sana, what is kupenda? si ni hisia tu? yaani mtu ananifanyia madudu lakini siwezi kutoka sababu nampenda sana, as if huko nje nimeambiwa watu wameisha!
ukiacha relationship moja unautengenezea moyo fursa ya kujenga feelings kwa mwingine. wewe kama yamekufika shingoni ishia tu, utapenda pengine... tena unaweza kupenda zaidi ya hapo na ukajishangaa miaka yote uliyopoteza kung'ang'ania usipopendwa
 
Fanya maaamuzi magumu, sababu ya wewe kuendelea kuumia haipo hata chembe! Na ina onekana wewe ndio unampenda yeye hakupendi maana kama angekuwa ana kupenda asingekuwa ana kuumiza kila siku na kukwambia usimtafute. Fanya maamuzi magumu.
Ahsante kwa ushauri wako nitaufuata.
 
Kweli mapenzi yanaleta upofu,hivi kaka wewe huwezi hata ukaona kwamba amekuchoka na hakuhitaji.kwanza anaonekana ni meterialistic,haiwezekani mtu anayekupenda akafanya hivyo.mimi siwezi kusema hapa nini cha kufanya japo cha kufanya hata wewe pia unakijua ila tu hutaki kukubali kuwa ukweli ndio huo na inakubidi ufanye maamuzi magumu
 
huyo mpenzi ulimpenda kabla hujamuona? unajua nashindwa kuelewa mtu anasema nashindwa kumwacha sababu nampenda sana, what is kupenda? si ni hisia tu? yaani mtu ananifanyia madudu lakini siwezi kutoka sababu nampenda sana, as if huko nje nimeambiwa watu wameisha!
ukiacha relationship moja unautengenezea moyo fursa ya kujenga feelings kwa mwingine. wewe kama yamekufika shingoni ishia tu, utapenda pengine... tena unaweza kupenda zaidi ya hapo na ukajishangaa miaka yote uliyopoteza kung'ang'ania usipopendwa
Ahsante kwa ushauri wako mzuri na wakunipa moyo nitautekeleza..
 
Kweli mapenzi yanaleta upofu,hivi kaka wewe huwezi hata ukaona kwamba amekuchoka na hakuhitaji.kwanza anaonekana ni meterialistic,haiwezekani mtu anayekupenda akafanya hivyo.mimi siwezi kusema hapa nini cha kufanya japo cha kufanya hata wewe pia unakijua ila tu hutaki kukubali kuwa ukweli ndio huo na inakubidi ufanye maamuzi magumu
Ahsante kwa ushauri,nimekubali ukweli ni bora niache kiende kuliko kuking'ang'ania kiendelee kuniumiza..
 
Ahsante nitafuata lakini ujanipa njia za kumsahau..

kupenda sana ni tabu bro. Chatu ameshatoa mlio wewe bado unaenda tu,unachotaka ni nini?ngoma au mume *****?hapo mapenzi yake kwako ni kwishney,mwezi mmoja ni mwingi sana. Fanya kama mmepotezana, futa kila kitu kinachomuhusu na uanze maisha yako upya
 
Dah! Pole ndugu, maumivu ya mapenzi ni makali sana... Unataka akufanyie kitu gani ndio uelewe kama hana mpango na wewe?? Mapenzi hayalazimishwi kaka.. Ukiendelea na huyp dada ujue utakuwa unalia kila siku. ACHANA NAE..
 
Anakuchezea hisia zako huyo tena na hatari sana kukaa katika mahusiano ya namna hii maana maumivu yake yanakuathiri taratibu kisaikolojia,tupe kule vuta mwingine fasta.
Nashukuru kwa ushauri,lakini mimi siyo player boy ndiyo maana miaka yote nilikuwa na yeye tu!.
 
Kweli mapenzi yanaleta upofu,hivi kaka wewe huwezi hata ukaona kwamba amekuchoka na hakuhitaji.kwanza anaonekana ni meterialistic,haiwezekani mtu anayekupenda akafanya hivyo.mimi siwezi kusema hapa nini cha kufanya japo cha kufanya hata wewe pia unakijua ila tu hutaki kukubali kuwa ukweli ndio huo na inakubidi ufanye maamuzi magumu
Sasa nimekubali ukweli na ahsante kwa ushauri..
 
Mwanaume unaumia kiasi hicho usikute ukiwa mwenyewe huwa unaliaga wewe.Kamata kikuku kichinje wewe uone utakavyonenepa wamejaa namna hii unaumiza kichwa dahh wanaume tunatofautiana sana aisee
Hebu funguka kidogo mkuu, wamejaa wapi? Muelekeze atawapataje usiishie hewani tu!
 
Back
Top Bottom