Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 488
- 740
- Thread starter
-
- #21
Maswali ake ayakuwa na shortcut mzee...Kama mwanaume lazma nijazie makando kando kussuport uongo wanguNyie wote mnazingua!
Ye anadai hakutaki ila maswali mob! We ushakataliwa ila unajieleza interviewee ana nafuu.
Kwa namna hii Lazima ukataliwe
😆😆Yan unatongoza kama unamtongoza shoga
Wakikua wataacha hizi back and forthIla sema wewe na kidemu chako..wote watoto mnamiaka 20
Mimi skumjibu kbs😃Hapo alipokuambia usimku mwema
Ungemjibu usiku mwema ili iweje mbwa wewe umenikataa
Age yake Ni 17-19 mkuu haizid hapo ko lazma uongo uwe mwingi tuHizo Sentensi ulizoandika aisee siwezi mie wewe kweli unatongoza ile tulikuwa tukijuaga tukiwa watoto ndio tulijua utongozaji huo Mimi siwezi aise
Kutongoza kwangu Kama naona demu mkubwa kidogo na anajielewa natumia misamiati mingi ya Kama TUJENGE MALENGO, NI NATURE, MUDA NDIO HUU nk
Ila kiujumla hakuna fomula kabisa kutongoza
Basi Happ hakuna fomula maana umri huo mapenzi ni JUST A GAME hamakini na chochote kwenye contei bali kumtongoza tu BasiAge yake Ni 17-19 mkuu haizid hapo ko lazma uongo uwe mwingi tu
Pitia nyuzi zangu utakua Malaya wa Wanawake mpaka utajiogopa.Naina umeeleza tu weka huo mfano tuone
Dada ni vizuri ungefundisha kabisa mwalimu mzuri huonya na kuonesha njia inayofaaWewe hata kutongoza hujui aiseee.. unaonekana kabisa haupo serious
Ungemkazia jombaaa, unakubalije kinyonge hivyo? Ungeanza na kumsifia Sifia kwanza..ndo uemdelee kumwaga upupu wako...Age yake Ni 17-19 mkuu haizid hapo ko lazma uongo uwe mwingi tu
What a simp amekuwa keki kwaniHabari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia kimtindo nikiwa 2nd year but hatukufikia popote coz binti alkua ka mtoto wa geti Kali kimtindo..
Leo nilivyokutana nae,sikusita kuomba namba na kukumbushia mawili matatu,namba nilipewa.
Nimekaa nimetulia jioni ya leo nkaona nimchombeze tena kanitolea nje....
Wataalamu wa rada,mabaharia wapi nimekosea..
Nimepanga kumpotezea sema nimekuja kuchukua madesa incase fursa nyingine ikipatkana..
Au niongeze utundu gani nmnase Leo tumeishia apo.
No greater love#
We jamaa maliza kwanza Shule hayo mambo utayakuta tu.Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima.