Hamna kitu kimenifurahisha kama Kusikia ally kiba ni mtunzi bora zaidi ya Barnaba!!!... barnaba anayetunga nyimbo zake, za vanessa mdee pamoja na hii nyimbo inayotamba san ya Ruby...anapitwa na mtunzi wa cheketua...!!!!
ally kiba kuwa mtumbuizaji bora.. Mbele ya Diamond... Kitu ambacho hata kipofu anaona Diamond is the best performer...
ally kiba kuwa mwanamuziki bora wa kiume kwa mwaka 2014... !!!
Mbele ya mshindi wa tunzo za channel o 3 kwa mwaka 2014... Nominee wa Bet na Mtv, mwanamuziki aliyejaza kwenye maonyesho kushinda wote kwa mwaka 2014, mwanamuziki aliyechuma pesa nyingi zaidi mwaka 2014, Mwanamuziki aliyetajwa zaidi kwenye Vyombo vya Habari vya kimataifa na kitaifa, mwanamuziki anayeongoza kwa nyimbo zake kuangaliwa Youtube na vituo vya kitaifa na kimataifa, Mwanamuziki ambaye nyimbo zake (audio)zimekaa kwenye chati za kitaifa na kimataifa kushinda Yeyote yule Tanzania....
Narudia Tena nimechek sana yaani😂😂😂,, maana kuna vitu wanasema res ipsa yaani ... A thing speaks by itself...
hata kama kulazimisha kumpandisha mtu au kutengeneza equilibrium huku sasa kumezidi.... Hamna haja ya kulaumu mtu yeyote cuz ni desturi ya wabongo kulazimisha kumshusha aliye juu... Diamond mjanja ndo maana hakujisumbua kuja kudhalilishwa na yy ally kiba kwa aibu kuona atapokea haramu eti na yeye
hahaha....Noma sana
Aliwanunua una ushahidi??
Who alleges must prove...
Lets presume aliwanunua hapa bongo kwahiyo London, Dubai , Rwanda, Burundi kote alijaza mafuriko ya watu.. Je na huko alinunua??
Diamond kamzidi kipi Kiba?acheni unafki!!!
Rwanda ,Burundi yale ni matamasha yaliyousisha wasanii wengi mfano fiesta ye I elade alipokuja akustahili kwenda kwao na kujisifia kua amejaza uwanja Tznia
Kisimbue kichwa chako kufikiria
Mombasa na white party?
Usijifanye kipofi na kiziwi usiyeona wala kusikia
mi nimecheka christian bella kutochukua hata moja pamoja na kubamba kote kule manake ana mawe kama matano yanatamba mpaka leo
Ulipiga kura?
Sasa ao mnaowalalamikia apo Mombasa n Mara ngapi wanajaza?
Asiekubal kushindwa.........!!
Mkuu hapa ndipo utata ulipo
Ni nini mmasharti na vigezo kumpata mshindi?
Kwa KTM inaonekana vigezo ni kura pekee ndio huamia mshindi, na kama hilo ni kweli basi Ali Kiba ana haki yakupata tuzo hizo iwapo kura zake zilikua nyingi Kuliko washindani kwa kila kategori
Tatizo la maamuzi ya kura pekee ndio huleta malala miko kama haya tunayo yaona, kura haiangalii vigezo vingine as long as umekua nominated
Tuzo nyingi kura hubeba asilimia fulani tu ya maamuzi na jopo la majaji wataalamu wanaangalia others factors
Ukiondoa vigezo vya kura kupata mshindi, Chibu amefanya vizuri sana mwaka jana kuliko Ali kiba katika nyanja zote, na ndio maana mwaka huu utaona malalamiko mengi tofauti na mwaka jana
Mwaka jana Chibu ni kama alikua peke yake tu hakuwa na mtu aliyefanya vizuri sana zaidi yake so alipochukua tuzo saba kura na others factor zikawa sawa na ikaonekana ni sahihi na haki yake
Mwaka huu tofauti kidogo, Chibu katengenezewa "mpinzani" ambaye amefanya vizuri kiasi chake, na kwenye kura nyingi zikapigwa kwa Kiba na ameshinda
Sasa shida imekuwa ni vipi kuhusu others factor?
Kweli Kiba ana ubora kuliko Diamond hadi kumzidi tunzo zote hizo?
Jibu ni HAPANA, ila ameshinda kihalali sababu ya vigezo na masharti ya only kura na si kwasababu Kiba ni bora kuliko Diamond
Umemaliza kucheka?
Mwaka daimond alipobeba 7 ulicheka au ulinuna?
Si alichukua utunzi bora mbele ya barnaba ?
Si alichukua wimbo bora mbele ya nyimbo Kali zaidi ya kijimbo kake kile?
Unalazmisha barnba awe mtunzi bora !! Kisa kawatungia watu nyimbo ? Yeye katunga wimbo gani kama solo artist ukatusua kama mwana ya kiba
Na kama sababu kutungiana basi mabeste nampa 100% jamaa anawaandikia sana
Unalazmisha dai awe msanii bora Wa mwaka kisa kachuma pesa nyingi ! Una akili wewe ?
Unalazmisha dai awe best performer !! Hivi anaperfom jukwaani kuliko bella ? Acha uteam msanii wako ajastahili
Alikiba ni msanii aliyestahili ngoma moja ikasumbua vichwa vya walio wengi unataka uifananishe sijui na sisikii ya Jux sijui Rubby !!are you fit mental ?
Yaani ili ucheke sana kwakua kiba kakuuzi chukua step za br janner
Utacheka sana
NB; ulipiga kura? Au unaropoka kama umeibiwa mume !!
Kwenye utunzi bora kweli Barnabas alistahili kabisa na sio diamond!
By the way si hawahawa majaji walimpa tuzo7 diamond na mkashangilia imekuwaje Leo
Plus yeye anaushawishi had I ikulu ameshindwaje kuzuia hili Kama ulikuwa ni mpango?
Kutumbuiza jamani sio kucheza tu pale ni ishu ya vyombo na live na ndio maana hata mbele waimba rock ndio wanaitwa watumbuizaji wazuri coz ni watu wa-live na ndio maana akina Chris brown nao wanaimba live siku hizi
Kwanza nimepiga kura....
Hivi unataka kuanza unibishi kuhusu wimbo wa my number one wa Diamond au???
kama ni hivyo sitaki kubisha na ww kwa sababu it is so obvious kuwa number one ukilikuwa wimbo mkubwa sana locally n internationally ... Umempa tunzo zaidi ya 15 locally na internationally unataka proof gani tena...
kuhusu ubora wa Barnaba kwa mwaka huu ni tofauti ya mwaka jana... Hebu fanya ref ya nyimbo alizoandika mwaka jana na mwaka huu... Halafu pigia mstari
Nimetaja vigezo vingi sana vya dai kuwa msanii bora wa mwaka.. We jifanye umeona kigezo kimoja tuuu..
Maswali yako mengine hayana mashiko ....