Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,915
- 166,153
comedi ya mbowe ,lipumba,mbatia na wengine ni zaidi ya bambo,
Mkuu fafanua. Mbona unaongelea gizani?Tatizo ni elimu ya UPE.... watu wetu wengi hawana uwezo wa kuona mbali , inasikitisha sana ..
mkuu wanasisa wenu ni wendawazimu sana,
Hiyo picha ya pili imekosewa. Dr Slaa hayumo kwenye kumsafisha fisadi Lowasa