Pole sana mwaya, kiukweli inauma sana, yaliwahi nipata hayo sitaki kukumbuka, Isipokuwa lipo tumaini dada ni sawa na ulikuwa unatembea ukajikwaa ukaanguka, unainuka unajifuta vumbi enaendelea na safari. Mungu atakupa Mume bora, Huyo hakuwa wakwako achana nae, anza maisha yako upya .
1. Utulie , uwe makini.
2. Mshirikishe Mungu hili jambo, atakujibu
3. Uwe mwaminifu mbele za Mungu hawazi kukuacha
Pole sana ninaamini Mungu atakusaidia, Utapata mtu aliyesahihi kwako.