[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ety malaikaa daaa ..Jiandae kupopolewa na malaika wa Jf maana watu wa humu...
anyway Mungu akupe hekima kwenye kufanya maamuzi, maana kuishi na huyo mwenye mtoto wako na huku humpendi inahitaji kipaji.
Poleni na majukumu ya Kila siku,nimekuja kuomba ushauri hapa jamii forum sababu naamini humu kuna watu wenye uzoefu au washawahi kutokewa na scenario kama hii.
Nisiwachoshe, mimi ni kijana wa miaka 34, baada ya kuona umri unasogea halafu sipati mtu ambae ninampenda,nilizoeana na binti ambae tulianzisha mahusiano ila lengo langu ilikua ni kupata mtoto, basi yule binti akaja nyumbani, tukaendelea kuishi huku tukilea mtoto, mtoto Ana umri wa mwaka mmoja Sasa.
Tatizo ni kwamba huyu binti ni wife material Lakin Sasa kwa upande wangu sina hisia nae hata kidogo, cha Kushangaza nimempenda binti mwingine ambae pia anamtoto ambae sio wangu.
Na huyu binti ambae nnaishi nae mwenye mtoto wangu karudi kwao anasema mpaka niende kumtolea posa ndo atarudi, la sivyo atabadilisha Namba za cm, na sitampata tena, na mtoto akikua atamwonesha kaburi na kumwambia baba ake alikufa.
Kinachofanya nichanganyikiwe ni kwamba, nikimuoa huyu mwenye mtoto wangu ndo sina hisia nae ila hana tatizo, nikimuoa huyu single mother ambae nnampenda, siwezi kua na Amani sababu mtoto angu ataenda kuishi na baba wa kambo huku mimi nnalea mtoto wa mwingine,
N.B Mimi ni mwanaume nnaependa sana watoto,nnampenda sana mtoto wangu, mbaya zaidi ni wa kike.naamini Kuna watu humu wanajua kudadavua haya mambo ya mahusiano na pia wanaupeo mkubwa kuliko mimi,
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
We mbwa huyo unaemuona huna hisia nae mpaka umefika hatua umezaa nae mtoto ndio unaefanana nae kenge we oa huyo sio hilo gumegume lililowashinda mitume, sorry kwa kutumia lugha mauzi Ila unakera pimbiwe sababu unapomuacha kuna mwenzio atamuona mzuri km wewe unavyomuona huyo single Mama alafu atajiuliza kwanini umemuacha km wewe unavyojiuliza kwa jamaa aliemuacha huyo single Mama kengewe kengele kabisaKinachofanya nichanganyikiwe ni kwamba, nikimuoa huyu mwenye mtoto wangu ndo sina hisia nae ila hana tatizo, nikimuoa huyu single mother ambae nnampenda,
Kavurugwa na chini kichwa cha chini kinamsumbua vibayaHadithi ya kusadikika
Kwahiyo anatusimulia anachokiwaza😂Kavurugwa na chini kichwa cha chini kinamsumbua vibaya
Hadithi ya kusadikika
Mkuu nimekuelewa japokuwa Una lugha kali sanaWe mbwa huyo unaemuona huna hisia nae mpaka umefika hatua umezaa nae mtoto ndio unaefanana nae kenge we oa huyo sio hilo gumegume lililowashinda mitume, sorry kwa kutumia lugha mauzi Ila unakera pimbiwe sababu unapomuacha kuna mwenzio atamuona mzuri km wewe unavyomuona huyo single Mama alafu atajiuliza kwanini umemuacha km wewe unavyojiuliza kwa jamaa aliemuacha huyo single Mama kengewe kengele kabisa
OkayHii hali ni ya kweli kabisa. Mimi kuna vijana waniuliza maswali ya aina hii. Na wengine wako katika hali zaidi ya hii nawashauri.
Vijana wa siku hizi wanachukulia mambo poa na simple sana.
We mbwa tushakwambia oa uliezaa nae sio kila nyumba unataka utie mimba ukimchoka single Mama utaona mwingine nae utataka umkojolee pumbavu kabisa, hujampenda huyo single Mama umemtamani unaempenda ni huyo ambae huna hisia nae ndio maana ukazaa naenaamini Kuna watu humu wanajua kudadavua haya mambo ya mahusiano na pia wanaupeo mkubwa kuliko mimi,
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
Nashukuru mkuu kwa kunisaidia,ni kweli kabisaHii hali ni ya kweli kabisa. Mimi kuna vijana waniuliza maswali ya aina hii. Na wengine wako katika hali zaidi ya hii nawashauri.
Vijana wa siku hizi wanachukulia mambo poa na simple sana.
Penda penda tu kila shimo wanataka waongie wewe umeshazalisha tuliza ball bro lea mtoto wako na huyo Mwanamke unaemuona huna hisia nae ukiishi nae hisia zitakuja tu huko mbele asipokufaa leo kesho pia ni siku, chumvi haina thamani kwenye Meza ya chai Ila unapofika mda wa chakula na mboga ndipo chumvi inapokuja kua na umuhimuHii hali ni ya kweli kabisa. Mimi kuna vijana waniuliza maswali ya aina hii. Na wengine wako katika hali zaidi ya hii nawashauri.
Vijana wa siku hizi wanachukulia mambo poa na simple sana.
Ilikua Bahati mbaya Kuzaa nae mkuu, japokua nimekuelewaWe mbwa tushakwambia oa uliezaa nae sio kila nyumba unataka utie mimba ukimchoka single Mama utaona mwingine nae utataka umkojolee pumbavu kabisa, hujampenda huyo single Mama umemtamani unaempenda ni huyo ambae huna hisia nae ndio maana ukazaa nae
Nilikua namaanisha sina ujasili wa kukaa mbali na mtoto wangu,kuna wanaume wanahuo ujasili na wakaishi kwa raha tu, nimesema wa kike sababu Najua ataenda kuishi na baba wa kambo,kama unavojua Dunia imeharibikaSory nje ya mada,kwanini umetumia kauli" napenda sana watoto,mbaya zaidi wa kike" mtoto wa kike ana shida?
Mahari mkaja wa Bibi Koti la Babu na majembe bila kusahau kifurushi cha wajombanapenda sana watoto,mbaya zaidi wa kike" mtoto wa kike ana shida?