nimechalalala mbayaaa

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Kwa kawaida huwezi nikuta JF weekend ila hii balaaa sina mkwanja AKA fuba nimekuwa mdooooogo nimechalalaaaa mbaya kudadadadeki nimetia adabu nimeangalia movie zishaisha......
...mbaya zaidi mashori kibao hawapokei simu mmoja kasema nimfuate nimpeleke dar zoo aisee nimemwambia naumwa!!!!!!!
 
Pole tukusaidieje? Nipe namba yako ya voda nikuwekee pesa angalau 300000 umesajili Mpesa lakini?
 
Pole tukusaidieje? Nipe namba yako ya voda nikuwekee pesa angalau 300000 umesajili Mpesa lakini?
sweeetheart kama vipi sema tukutane wapi tupige mastory.....
 
Mzee hiyo AVATAR yako chupu chupu niangushe monitor yangu kwa kibao nilichotoa nikidhani mdudu kapita,,,,,,,,,,,,,,
 
Mzee hiyo AVATAR yako chupu chupu niangushe monitor yangu kwa kibao nilichotoa nikidhani mdudu kapita,,,,,,,,,,,,,,
una kihere here weye......BTW ru shori?
 
Nimechelewa kuiona hii thread.
Ningekupa zinga la kampan.
 
Nimechelewa sana ningeiona mapema ningekutoa mtu wangu. siku nyingine basi usijali
 
Nimechelewa sana ningeiona mapema ningekutoa mtu wangu. siku nyingine basi usijali
thanks you so much my dear....bado nipo nime hang sina hili wala lile......vipi upo?
 
kumbe wadada wa JF wana upendo eeh...?
THumb up to all dadaz wa JF aisee.......sema wagumu hao ukitaka urafiki za kimapenzi.......
 
Yoyo................tafsiri hii kitu.........mwanangu.

tela amaizii, tela garugemuuu, telaaaaaaa, tela bojoooo, otele garugemuuuuu, yooooo maweeeee, ogateleeeee. Yaaani piga majiiii, piga yatokeeeeee,pigaaaa, piga jamaniiiii, piga yatokeeeeeeee, yoooooo, mamaweeeeee.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…