Nimechaguliwa

Mbona jina la hapa Jf linafanana na yule mkuu wa pale UDSM,kama ni jina lako halisi huoni kama inaweza kuwa sababu ya wewe kuchaguliwa

 

unapashwa kuchangia jf kama shukrani zako mkuu sawa mkuu..
 
any feedback mr francis mukandala?
 

JF Noma aisee,
Huyu si ndo anaejiitaga ana PHD?
 

hongera sana mkuu
 
fransis mkandala,lisa heke,mchunguzi huru yote yeye huyu dogo

dah! unajisifu kwa ID hii huku unashukuru JF kwa ID ile! Jamani..

nakumbuka alishasema amesoma mpaka Phd halafu kakosa kazi.. jamaa majanga kweli huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…