Nimechaguliwa kusoma Automobile engineering ila sikuiweka kwenye machaguo yangu

Bwana mdogo tulia ukapige shule, Automobile Engineering ni kozi pana yenye wigo mkubwa iwe kuajiriwa au kujiajiri, Automobile Engineering kwa ufahamu wangu mdogo unaenda kusoma uhandisi wa vyombo vya moto, kuwa mhandisi ni zaidi ya kuwa fundi, Unaowaona kwenye magereji wengi tunawaita technicians, hao wana deal moja kwa moja kwa kutumia mikono yao katika kutatua matatizo katika vyombo vya moto, Katika nchi zilizoendelea mhandisi wa vyombo vya moto anafanya kazi ya kusanifu(design) muundo wote wa vyombo vya moto kuanzia engine system, gear box na makorokocho kibao, yeye anatumia kichwa kufanya analysis na kuelekeza ma technician namna ya ku solve tatizo katika vyombo vya moto. Neno engineering msingi wake ni Engine huko ndo kwenye uhandisi sasa. Na asikutishe mtu, wewe una maisha marefu kama Mungu atakupa afya njema, utajitunza na kujilinda nina maana gani? unapochagua career usiangalie hali ya leo mtaani au baada ya miaka 4 utakapohitimu, pima je baada ya miaka 10, 20 au 30 itakuwaje kwasababu kote huko wewe utakuwepo na utakuwa ni Nguvu kazi so nguvu kazi yako utailekeza wapi endapo utakuwa na miaka 30, 40 na 50. Je unachokisoma hivi sasa kitakuwa na mahitaji gani kwa jamii yetu.

Mimi ningekuwa wewe nisingekuwa na wasiwasi zaidi ya kujipanga namna ya kufaulu masomo yangu, Tunaposema huo uhandisi wa vyombo vya moto kitakwimu tunaamanisha kwa sasa Tanzania tunaagiza magari zaidi ya 50,000 kwa mwaka hii ni bidhaa ambayo hawa wote wewe na wenzio mtapigana kupata soko ili mfanye marekebisho endapo wamiliki watapata matatizo, Tunaongea tanzani ambayo sekta ya ujenzi inakuwa kwa zaidi ya asilimia 20 kwa mwaka na hawa ni watumiaji wazuri wa heavy machine ambazo repair and maintenance kama ya Grader,Crane etc haiwezi kufanywa na fundi wa gereji bubu huku, Mdogo wangu huku mjini kun wawekezaji wa kichina wana gereji za kisasa na mitambo ya kisasa ambayo fundi gereji wa mtaani hawezi kuitumia, Na kwa ukuaji huu wa teknolojia tuna miaka michache sana gereji bubu ambazo fundi hawezi kutumia software na mifumo ya kisasa kubaini tatizo la chombo cha moto zitapotea na kufa mbali kumbuka Technology ina save time,money and deliver high quality service sasa subiri uje uone hicho kiama cha ambao hata veta hawajaenda.

Mdogo wangu if you are to look in 10 years to come inawezekana kabisa tanzania ikawa na kiwanda cha ku assemble magari na vyombo vya moto, Kipo kimoja cha jeshi ila kina sua sua ila kwa hali ilivyo kidunia Africa na Asia ndio sehemu nzuri ambazo zitafaa kwa uwekezaji wa viwanda, wazungu washaharibu hali ya hewa huko kwao na misheria kibao wamejiwekea ili kukabili suala la uchafuzi wa hali ya hewa kwa hiyo kuja Africa au Asia is inevitable ni suala la muda, Usione china kakua kwa kasi sio yeye ni mimarekani baadhi imeanzisha mikampuni yao huko, sehemu nyengine nzuri itakuwa huko kwa hiyo kama Mungu atakurehemu uhai hadi miaka 20 ijayo tanzania utakayoiona si hii ya leo, Tanzania ya miaka 15 iliyopita si hii ya leo. Hiyo ni fursa tu kama utaamua kuajiriwa au kujiajiri. Sijazungumzia kabisa fursa iliyopo katika sekta ya usafirishaji ambako huko mdogo wangu hiyo fani yako hulali njaa.

Am on my mid 20's ila natamani ningekuwa na on my 10's ningeweka juhudi kuji brand internationally, Mdogo wangu nina maana gani, kwa kuwa ndo unaenda kusoma basi kaza kweli kweli, jua vitu jifunze kadri uwezavyo kila uchao jifunze vitu vipya jua dunia iko wapi kwenye career yako jua dunia inahitaji nini kwa sasa kwenye career yako, Tumia muda wako vizuri once you become smart you can go and work anywhere, Wapo huko watanzania wenzetu weusi ka ngozi ya t*ako ila wazungu wanaweheshimu kutokana na mzigo wanaoupiga yes hata wewe unaweza kama utawahi kuchukua hatua mapema na muda bado unao, ukiwa smart kwenye hiyo kozi sitashangaa kusikia unapiga mzigo Volkswagon, Mercidez Benz, Toyota, Volvo na kampuni yeyote ile duniani unayoijua ina deal na vyombo vya moto ili mradi tu uwe smart na uweze ku deliver kile ambacho wengi hawawezi. Usi limit ubongo wako kufiria tu hapa hapa tu, fungua ubongo maisha popote muhimu unapata maslahi unayoyahitaji. Nenda kasome acha kusikia majungu ya watu mdogo wangu acha kabisa watanzania asilimia kubwa ni watu wenye wivu, husda, wasiofanya tafiti, wenye kufuata mkumbo na wasiofikiria mbali go and chase your dream buddy. samahani kwa kukuchosha kuandika hobby yangu.
Mkuu hongera sana umemaliza kila kitu.Tatizo kubwa watu huwa wanashauliwa na watu ambao hawajui undani wa course.Mimi binafsi kipindi nachagua course lengo langu lilikuwa electrical eng,lakini baadae nikachaguliwa Mech eng nilijua ntakuwa fundi garege kama Hugo dogo.Lakini leo nainjoy maisha nasiwezi kufa njaa hapa mjini.
 
Asante sana bro yani at least now I can breath,nimekuelewa sana maana nilikua sina raha kabisaa but now umenitia moyo.Mungu akupe maisha marefu
Take a breath, acha kusikiliza mambo ya mitaani, Engineering fields sio nchini kwetu tu bali hata huko nchi zilizoendelea mtu akilala njaa basi ujue ni maamuzi tu hajapata maslahi anayoyahitaji. Kwa nchi zinazoendelea in 10 to 20 kuna field zitakimbiza sana kama ambavyo field ya Telecomunication ilivyokimbiza for almost 10 yrs na bado inadai so hata Automobile Engineering bado sana, nchi yetu maskini na inahitaji wataalumu wengi sana sio wa uhandisi tu na bado kimataifa kama nilivyokueleza so kazi ipo kwako tu kuamua
 
Mkuu hongera sana umemaliza kila kitu.Tatizo kubwa watu huwa wanashauliwa na watu ambao hawajui undani wa course.Mimi binafsi kipindi nachagua course lengo langu lilikuwa electrical eng,lakini baadae nikachaguliwa Mech eng nilijua ntakuwa fundi garege kama Hugo dogo.Lakini leo nainjoy maisha nasiwezi kufa njaa hapa mjini.
Hii nchi kuongea ongea ndo hulka yetu siku hizi mtu hajui, hayupo kwenye industry inayotajwa hata defination ya Automobile hajui lakini ukimkuta anavyoshauri huyo hatariiiii na kibaya wengi unakuta wana focus hapa hapa kwanini tuzifinye fikra zetu kiasi hiki wakati mtu akiwa na ujuzi hapa duniani anaishi popote pale, Tanzania umeshindwa nenda Uganda, South, America huko Europe huwezi shindwa au kukosa kote huko unless you are incompetent
 
Mkuu ndio hivo,ukienda gereji za mtaani utacheka sana mafundi huko wanavyofanya kazi,wanafanya kazi kwa kubahatisha badala ya kutibu tatizo wengi wao wanaongeza matatizo nakuharibu vyombo vya watu.Ukisoma hii course vizuri na ukawa uko vizuri kutrouble shoot tu gari ya mtu ili ajue tatizo ni nini,mtu analipa nizaidi ya elfu thelathini sasa nijukumu lake yeye kudai chombo chake kitibiwe hapohapo au aende kwingine.Mfano magari ya sasa yana elecrical&electronics system zakutosha kiasi kwamba hawa mafundi uchwara hawewezi kutatua matatizo.Hii nifursa nzuri nivijana tukiiona hii hakika tutapiga pesa zakutosha.
 
Afu anakuja mtu ana bwabwaja bwabwaja tu yani kuna watu ni kero kweli kweli, Bwana Mdogo asome na asome aje awe competent wengine tunatamani Muda tungeurudisha ila ndo hivyo haiwezekani. Ukiwa Competent bwana duniani hata usome upishi tu au kushona viatu hutalala njaa sasa sisi mtu unamaliza chuo upo shallow shallow, unajua hujui vile afu unaanza kulalamika nani alikushauri usome kozi hovyo hakuna kozi hovyo ila kuna wahitimu hovyo duniani
 
Sasa si bora ningeenda veta tu nilipomaliz form4,yani mtu una degree mkuu then uende kufanya kazi pamoja na artisans wa veta.Sasa si itakua nimepoteza muda bure au si bora tu niingie veta sa hv kuliko kwenda kupoteza miaka 4 kizembe
Uende veta???.Nimecheka sana mawazo ya form six bana.
 
Bwana mdogo tulia ukapige shule, Automobile Engineering ni kozi pana yenye wigo mkubwa iwe kuajiriwa au kujiajiri, Automobile Engineering kwa ufahamu wangu mdogo unaenda kusoma uhandisi wa vyombo vya moto, kuwa mhandisi ni zaidi ya kuwa fundi, Unaowaona kwenye magereji wengi tunawaita technicians, hao wana deal moja kwa moja kwa kutumia mikono yao katika kutatua matatizo katika vyombo vya moto, Katika nchi zilizoendelea mhandisi wa vyombo vya moto anafanya kazi ya kusanifu(design) muundo wote wa vyombo vya moto kuanzia engine system, gear box na makorokocho kibao, yeye anatumia kichwa kufanya analysis na kuelekeza ma technician namna ya ku solve tatizo katika vyombo vya moto. Neno engineering msingi wake ni Engine huko ndo kwenye uhandisi sasa. Na asikutishe mtu, wewe una maisha marefu kama Mungu atakupa afya njema, utajitunza na kujilinda nina maana gani? unapochagua career usiangalie hali ya leo mtaani au baada ya miaka 4 utakapohitimu, pima je baada ya miaka 10, 20 au 30 itakuwaje kwasababu kote huko wewe utakuwepo na utakuwa ni Nguvu kazi so nguvu kazi yako utailekeza wapi endapo utakuwa na miaka 30, 40 na 50. Je unachokisoma hivi sasa kitakuwa na mahitaji gani kwa jamii yetu.

Mimi ningekuwa wewe nisingekuwa na wasiwasi zaidi ya kujipanga namna ya kufaulu masomo yangu, Tunaposema huo uhandisi wa vyombo vya moto kitakwimu tunaamanisha kwa sasa Tanzania tunaagiza magari zaidi ya 50,000 kwa mwaka hii ni bidhaa ambayo hawa wote wewe na wenzio mtapigana kupata soko ili mfanye marekebisho endapo wamiliki watapata matatizo, Tunaongea tanzani ambayo sekta ya ujenzi inakuwa kwa zaidi ya asilimia 20 kwa mwaka na hawa ni watumiaji wazuri wa heavy machine ambazo repair and maintenance kama ya Grader,Crane etc haiwezi kufanywa na fundi wa gereji bubu huku, Mdogo wangu huku mjini kun wawekezaji wa kichina wana gereji za kisasa na mitambo ya kisasa ambayo fundi gereji wa mtaani hawezi kuitumia, Na kwa ukuaji huu wa teknolojia tuna miaka michache sana gereji bubu ambazo fundi hawezi kutumia software na mifumo ya kisasa kubaini tatizo la chombo cha moto zitapotea na kufa mbali kumbuka Technology ina save time,money and deliver high quality service sasa subiri uje uone hicho kiama cha ambao hata veta hawajaenda.

Mdogo wangu if you are to look in 10 years to come inawezekana kabisa tanzania ikawa na kiwanda cha ku assemble magari na vyombo vya moto, Kipo kimoja cha jeshi ila kina sua sua ila kwa hali ilivyo kidunia Africa na Asia ndio sehemu nzuri ambazo zitafaa kwa uwekezaji wa viwanda, wazungu washaharibu hali ya hewa huko kwao na misheria kibao wamejiwekea ili kukabili suala la uchafuzi wa hali ya hewa kwa hiyo kuja Africa au Asia is inevitable ni suala la muda, Usione china kakua kwa kasi sio yeye ni mimarekani baadhi imeanzisha mikampuni yao huko, sehemu nyengine nzuri itakuwa huko kwa hiyo kama Mungu atakurehemu uhai hadi miaka 20 ijayo tanzania utakayoiona si hii ya leo, Tanzania ya miaka 15 iliyopita si hii ya leo. Hiyo ni fursa tu kama utaamua kuajiriwa au kujiajiri. Sijazungumzia kabisa fursa iliyopo katika sekta ya usafirishaji ambako huko mdogo wangu hiyo fani yako hulali njaa.

Am on my mid 20's ila natamani ningekuwa na on my 10's ningeweka juhudi kuji brand internationally, Mdogo wangu nina maana gani, kwa kuwa ndo unaenda kusoma basi kaza kweli kweli, jua vitu jifunze kadri uwezavyo kila uchao jifunze vitu vipya jua dunia iko wapi kwenye career yako jua dunia inahitaji nini kwa sasa kwenye career yako, Tumia muda wako vizuri once you become smart you can go and work anywhere, Wapo huko watanzania wenzetu weusi ka ngozi ya t*ako ila wazungu wanaweheshimu kutokana na mzigo wanaoupiga yes hata wewe unaweza kama utawahi kuchukua hatua mapema na muda bado unao, ukiwa smart kwenye hiyo kozi sitashangaa kusikia unapiga mzigo Volkswagon, Mercidez Benz, Toyota, Volvo na kampuni yeyote ile duniani unayoijua ina deal na vyombo vya moto ili mradi tu uwe smart na uweze ku deliver kile ambacho wengi hawawezi. Usi limit ubongo wako kufiria tu hapa hapa tu, fungua ubongo maisha popote muhimu unapata maslahi unayoyahitaji. Nenda kasome acha kusikia majungu ya watu mdogo wangu acha kabisa watanzania asilimia kubwa ni watu wenye wivu, husda, wasiofanya tafiti, wenye kufuata mkumbo na wasiofikiria mbali go and chase your dream buddy. samahani kwa kukuchosha kuandika hobby yangu.
 
Waajiri wa automobile engineers kwa hapa bongo ni wapi? Au wapi unaweza fanya kazi as an automobile engineer kwa hapa bongo
Mfano Dar Coach, jamaa wanachonga bodi hatare . Pia kuna makampuni mengine mengi ya kuunda bodi za magari na vipuli. Dar coach ni mfano tu
 
Tatizo hawajajua maisha,wanapenda wafanye kazi zakupulizwa na viyoyozi nawaonekane watu wa heshima.Kumbe hawajui kazi zinazoonekana chafu ndio huwa zinapesa hatari.
Ha ha kiyoyozi ata kama haupati hela. Yaani Tanzania tunasafari ndefu. Mie sijui nani atafanya hizo kaxi kama kilamtu anataka kazi ya ofisini
 
Mkuu Twende skull Me nilisoma diploma kweny kitivo cha umeme lkn Nimechaguliwa Automobile Engineering, Sina Shaka nayo twende skull mkuu
 
Duuuuu
Bwana mdogo tulia ukapige shule, Automobile Engineering ni kozi pana yenye wigo mkubwa iwe kuajiriwa au kujiajiri, Automobile Engineering kwa ufahamu wangu mdogo unaenda kusoma uhandisi wa vyombo vya moto, kuwa mhandisi ni zaidi ya kuwa fundi, Unaowaona kwenye magereji wengi tunawaita technicians, hao wana deal moja kwa moja kwa kutumia mikono yao katika kutatua matatizo katika vyombo vya moto, Katika nchi zilizoendelea mhandisi wa vyombo vya moto anafanya kazi ya kusanifu(design) muundo wote wa vyombo vya moto kuanzia engine system, gear box na makorokocho kibao, yeye anatumia kichwa kufanya analysis na kuelekeza ma technician namna ya ku solve tatizo katika vyombo vya moto. Neno engineering msingi wake ni Engine huko ndo kwenye uhandisi sasa. Na asikutishe mtu, wewe una maisha marefu kama Mungu atakupa afya njema, utajitunza na kujilinda nina maana gani? unapochagua career usiangalie hali ya leo mtaani au baada ya miaka 4 utakapohitimu, pima je baada ya miaka 10, 20 au 30 itakuwaje kwasababu kote huko wewe utakuwepo na utakuwa ni Nguvu kazi so nguvu kazi yako utailekeza wapi endapo utakuwa na miaka 30, 40 na 50. Je unachokisoma hivi sasa kitakuwa na mahitaji gani kwa jamii yetu.

Mimi ningekuwa wewe nisingekuwa na wasiwasi zaidi ya kujipanga namna ya kufaulu masomo yangu, Tunaposema huo uhandisi wa vyombo vya moto kitakwimu tunaamanisha kwa sasa Tanzania tunaagiza magari zaidi ya 50,000 kwa mwaka hii ni bidhaa ambayo hawa wote wewe na wenzio mtapigana kupata soko ili mfanye marekebisho endapo wamiliki watapata matatizo, Tunaongea tanzani ambayo sekta ya ujenzi inakuwa kwa zaidi ya asilimia 20 kwa mwaka na hawa ni watumiaji wazuri wa heavy machine ambazo repair and maintenance kama ya Grader,Crane etc haiwezi kufanywa na fundi wa gereji bubu huku, Mdogo wangu huku mjini kun wawekezaji wa kichina wana gereji za kisasa na mitambo ya kisasa ambayo fundi gereji wa mtaani hawezi kuitumia, Na kwa ukuaji huu wa teknolojia tuna miaka michache sana gereji bubu ambazo fundi hawezi kutumia software na mifumo ya kisasa kubaini tatizo la chombo cha moto zitapotea na kufa mbali kumbuka Technology ina save time,money and deliver high quality service sasa subiri uje uone hicho kiama cha ambao hata veta hawajaenda.

Mdogo wangu if you are to look in 10 years to come inawezekana kabisa tanzania ikawa na kiwanda cha ku assemble magari na vyombo vya moto, Kipo kimoja cha jeshi ila kina sua sua ila kwa hali ilivyo kidunia Africa na Asia ndio sehemu nzuri ambazo zitafaa kwa uwekezaji wa viwanda, wazungu washaharibu hali ya hewa huko kwao na misheria kibao wamejiwekea ili kukabili suala la uchafuzi wa hali ya hewa kwa hiyo kuja Africa au Asia is inevitable ni suala la muda, Usione china kakua kwa kasi sio yeye ni mimarekani baadhi imeanzisha mikampuni yao huko, sehemu nyengine nzuri itakuwa huko kwa hiyo kama Mungu atakurehemu uhai hadi miaka 20 ijayo tanzania utakayoiona si hii ya leo, Tanzania ya miaka 15 iliyopita si hii ya leo. Hiyo ni fursa tu kama utaamua kuajiriwa au kujiajiri. Sijazungumzia kabisa fursa iliyopo katika sekta ya usafirishaji ambako huko mdogo wangu hiyo fani yako hulali njaa.

Am on my mid 20's ila natamani ningekuwa na on my 10's ningeweka juhudi kuji brand internationally, Mdogo wangu nina maana gani, kwa kuwa ndo unaenda kusoma basi kaza kweli kweli, jua vitu jifunze kadri uwezavyo kila uchao jifunze vitu vipya jua dunia iko wapi kwenye career yako jua dunia inahitaji nini kwa sasa kwenye career yako, Tumia muda wako vizuri once you become smart you can go and work anywhere, Wapo huko watanzania wenzetu weusi ka ngozi ya t*ako ila wazungu wanaweheshimu kutokana na mzigo wanaoupiga yes hata wewe unaweza kama utawahi kuchukua hatua mapema na muda bado unao, ukiwa smart kwenye hiyo kozi sitashangaa kusikia unapiga mzigo Volkswagon, Mercidez Benz, Toyota, Volvo na kampuni yeyote ile duniani unayoijua ina deal na vyombo vya moto ili mradi tu uwe smart na uweze ku deliver kile ambacho wengi hawawezi. Usi limit ubongo wako kufiria tu hapa hapa tu, fungua ubongo maisha popote muhimu unapata maslahi unayoyahitaji. Nenda kasome acha kusikia majungu ya watu mdogo wangu acha kabisa watanzania asilimia kubwa ni watu wenye wivu, husda, wasiofanya tafiti, wenye kufuata mkumbo na wasiofikiria mbali go and chase your dream buddy. samahani kwa kukuchosha kuandika hobby yangu.
Duuuuuh brother ww ni shidaaaah....
 
Bwana mdogo bna haya nenda sasa huo ualimu Uishie Kula vumbi la chaki na kwenda kazini na dalaldala, Engineering ni kitu ingine kabisa ukitoboa four years na ukajiajiri au kuajiriwa utavuna mkwanja hatariii
 
Take a breath, acha kusikiliza mambo ya mitaani, Engineering fields sio nchini kwetu tu bali hata huko nchi zilizoendelea mtu akilala njaa basi ujue ni maamuzi tu hajapata maslahi anayoyahitaji. Kwa nchi zinazoendelea in 10 to 20 kuna field zitakimbiza sana kama ambavyo field ya Telecomunication ilivyokimbiza for almost 10 yrs na bado inadai so hata Automobile Engineering bado sana, nchi yetu maskini na inahitaji wataalumu wengi sana sio wa uhandisi tu na bado kimataifa kama nilivyokueleza so kazi ipo kwako tu kuamua
Wakuu mbarikiwe sana
Mkuu hongera sana umemaliza kila kitu.Tatizo kubwa watu huwa wanashauliwa na watu ambao hawajui undani wa course.Mimi binafsi kipindi nachagua course lengo langu lilikuwa electrical eng,lakini baadae nikachaguliwa Mech eng nilijua ntakuwa fundi garege kama Hugo dogo.Lakini leo nainjoy maisha nasiwezi kufa njaa hapa mjini.
 
Habr zenu wanajamv,nimechaguliwa hiyo kozi pale NIT lakini sikuiweka katika machaguo yangu niliyoweka TCU.Yani nahisi kuchanganyikiwa maana huku mtaan naambiwa kwamba naenda kua fundi garage,nataka nihame chuo lakini naogopa kuja kukosa mkopo maana now mkopo nishapata first batch.Nahitaji ushaur wenu wakuu nifanye nini hapo maana naona nishapoteza muelekeo wa maisha yngu
Kasome tu hivohvo au ahirisha mwaka uapply mwakan
 
Acha upumbavu kapige book hilo, Hujui kuwa India wanajenga kiwanda cha magari ya TATA hapo Bongo na nyie ndio mtakuwa waajiriwa wa kutegemewa???
 
Back
Top Bottom