Jstar1 JF-Expert Member Aug 1, 2019 1,389 1,337 Aug 21, 2019 #1 Wakuu kama kichwa cha habari apo juu kinavyosomeka, nmechaguliwa kozi nzuri kinoma. Kozi inalipa, kozi naisoma mimi tu, hii ntaweza kuwaisaidia waty wengi mnoa. Wakuu saivi saa ngapi niamke usingizini.
Wakuu kama kichwa cha habari apo juu kinavyosomeka, nmechaguliwa kozi nzuri kinoma. Kozi inalipa, kozi naisoma mimi tu, hii ntaweza kuwaisaidia waty wengi mnoa. Wakuu saivi saa ngapi niamke usingizini.
Jstar1 JF-Expert Member Aug 1, 2019 1,389 1,337 Aug 21, 2019 Thread starter #2 io apo, vipi ina ajira
THOTHOLITHO Senior Member Apr 29, 2014 138 57 Aug 21, 2019 #4 Jstar1 said: Wakuu kama kichwa cha habari apo juu kinavyosomeka, nmechaguliwa kozi nzuri kinoma. Kozi inalipa, kozi naisoma mimi tu, hii ntaweza kuwaisaidia waty wengi mnoa. Wakuu saivi saa ngapi niamke usingizini. Click to expand... Hongera sana mkuu! BSc in K-VANT Management inalipa sana
Jstar1 said: Wakuu kama kichwa cha habari apo juu kinavyosomeka, nmechaguliwa kozi nzuri kinoma. Kozi inalipa, kozi naisoma mimi tu, hii ntaweza kuwaisaidia waty wengi mnoa. Wakuu saivi saa ngapi niamke usingizini. Click to expand... Hongera sana mkuu! BSc in K-VANT Management inalipa sana
APEFACE JF-Expert Member Oct 1, 2016 5,060 8,677 Aug 21, 2019 #5 BAK said: Bangi mbaya sana! Click to expand... Especially ukiwa unaivuta una njaa na mawazo lukuki na mfukoni huna hata thumni/thumuni...
BAK said: Bangi mbaya sana! Click to expand... Especially ukiwa unaivuta una njaa na mawazo lukuki na mfukoni huna hata thumni/thumuni...
Mchizi JF-Expert Member Apr 23, 2009 2,620 6,061 Aug 21, 2019 #6 BSc in Penis Captivus..utapiga hela sana maana watu kila siku wananasa
Jstar1 JF-Expert Member Aug 1, 2019 1,389 1,337 Aug 21, 2019 Thread starter #7 Mchizi said: BSc in Penis Captivus..utapiga hela sana maana watu kila siku wananasa Click to expand...
Mchizi said: BSc in Penis Captivus..utapiga hela sana maana watu kila siku wananasa Click to expand...
Jstar1 JF-Expert Member Aug 1, 2019 1,389 1,337 Aug 21, 2019 Thread starter #8 APEFACE said: Especially ukiwa unaivuta una njaa na mawazo lukuki na mfukoni huna hata thumni/thumuni... Click to expand... koz nzuri io man
APEFACE said: Especially ukiwa unaivuta una njaa na mawazo lukuki na mfukoni huna hata thumni/thumuni... Click to expand... koz nzuri io man
Jstar1 JF-Expert Member Aug 1, 2019 1,389 1,337 Aug 21, 2019 Thread starter #9 THOTHOLITHO said: Hongera sana mkuu! BSc in K-VANT Management inalipa sana Click to expand...
APEFACE JF-Expert Member Oct 1, 2016 5,060 8,677 Aug 21, 2019 #10 Jstar1 said: koz nzuri io man Click to expand... Ni nzuri sana