!"nimebugi wakuu"! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

!"nimebugi wakuu"!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jozaa KYLLA, Sep 7, 2012.

 1. j

  jozaa KYLLA Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nmekosea wanajamvi msamaha wenu nahitaji (SAM CKIA). Ila hapo kwenye kujua majina yaliyotolewa na chuo (MUHAS) niko serious tafadhal naomben mnijulishe ntayapataje sababu web yao kidogo inanipa shida na nimewauliza wakasema wameshayaweka so anaejua link ya kuyapata plz. nimecomfuse coz mda unaenda afu naona kimya tu. msaada tafadhali. 0
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mkuu sijakuelewa fresh matokeo unayotaka ni ya degree au ya diploma..coz kwenye web yao wameweka ya diploma na advance diploma tu..embu funguka vizuri tukuelewe..
   
 3. j

  jozaa KYLLA Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  degree kaka
   
 4. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ya degree bado hawaja weka...huwa na tembelea hiyo site kila siku
   
Loading...