Nimeborekaaaaaa sanaaaaaa!!!

sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,804
1,424
Jamani wandugu wote yaani nimeboreka, nimechukiahadi naskia moyo unawasha. Please nisaidieni hii hali iniishe coz siipendi napenda kuwa happy and kucheka. Any one please release my sadness in anyways. Nimejaribu njia ninazotumia kuondoa hasira nikiwa nimechukia imeshindikana. Naomba mnisaidie bila kujali au kudadisi chanzo cha mimi kuwa na hali hii tafadhali kwasababu sitaki kumbuka. Niko SIRIAS please kwa mtakao jibu.
Natanguliza shukrani kwa msaada mtakaonipa.
Ever remains,
Sakapal.
 
Kila suluhisho lina maelezo yake hivyo huwezi pata suluhisho la matatizo yako wakati watu watujua ni nini hasa kinakusumbua,kwa utakavyo yafaa uende kwa waganga wa jadi labda wanaweza kukusaidia lakini si hapa.
Pole sana
 
Pole sana ...
Jaribu kutafuta mikanda ya vichekesho au katuni au soma majarida ya vituko na vichekesho unavyovipenda wewe. Pia jaribu kukutana na watu wanaopenda utani unaoupenda kwenye maongezi yao unaweza kujikuta unapunguza huzuni. Pia jaribu kutoka jioni kuhudhuria matamasha au sherehe inaweza kukusaidia. Tumia muda mwingi kuwa na marafiki zako waongeaji wasiobore au uwe bize. Na pia Jitahidi muda mwingi kutokukaa pakee yako.

Ukishindwa kabisa nitafute aisee nina dawa ya kurelease stress na kuondoa sadness ...
 
Asante kwa msaada wako ila imani yangu hainiruhusu pia binafsi sijawahi wala sitawahi fanya mambo ya uganga au ushirikiwa.
Amani iwe nawe.
 
Asante sana kwa msaada wako nitaufanyia kazi kwa mara nyingine kidogo nimesmile ila natumaini sitashindwa kabisa so nitaishia msaada wako wa paragraph ya kwanza hii sentensi ya mwisho mh mh asante lakini hapana.
 
Jamani wandugu wote yaani nimeboreka, nimechukiahadi naskia moyo unawasha. Please nisaidieni hii hali iniishe coz siipendi napenda kuwa happy and kucheka. Any one please release my sadness in anyways. Nimejaribu njia ninazotumia kuondoa hasira nikiwa nimechukia imeshindikana. Naomba mnisaidie bila kujali au kudadisi chanzo cha mimi kuwa na hali hii tafadhali kwasababu sitaki kumbuka. Niko SIRIAS please kwa mtakao jibu.
Natanguliza shukrani kwa msaada mtakaonipa.
Ever remains,
Sakapal.

Acha kufanya diet... Piga msosi mama
 
"....hadi moyo unawasha"
pole sana, lakini siunajua suluhisho la haraka unapowashwa ni kujikuna. Kwanini husitende vivyo?
 
kujua tatizo ni nusu ya kulitatua.... weka karata mezani watu wadadavue problem and possible solution(s), otherwise tutakuwa tunapaka rangi upepo tu
 
Ngoja tufute ile sheria ya kujitoa ya mifuko ya PENSION you will be happy forever.Nahisi itakuwa dawa tosha.
 
Asante kwa msaada wako ila imani yangu hainiruhusu pia binafsi sijawahi wala sitawahi fanya mambo ya uganga au ushirikiwa.
Amani iwe nawe.
Sasa unapotaka msaada kwetu wakati hatujui tatizo lako unataka tukusaidiaje?
Amani ipo sana kwangu.
 
"....hadi moyo unawasha"
pole sana, lakini siunajua suluhisho la haraka unapowashwa ni kujikuna. Kwanini husitende vivyo?

heheee kuwashwa... kukunwa... lol

asante kwa ushauri napona taratiiibu
 
Asante kwa msaada,

sifanyi diet ila nakula kawaida tuu sio kula kushiba wala sio kwa kujinyima

Experience yangu (na utaalamu pia), inanionyesha kuwa binadamu akiwa na njaa, anakuwa unnecessarily angry and bored. Hebu jaribu wakati una vijiasira, ule chochte, hata karanga za 200 na soda. Utaona matokeo yake,,
 
kujua tatizo ni nusu ya kulitatua.... weka karata mezani watu wadadavue problem and possible solution(s), otherwise tutakuwa tunapaka rangi upepo tu

Asante kwa msaada am getting healed
 
Experience yangu (na utaalamu pia), inanionyesha kuwa binadamu akiwa na njaa, anakuwa unnecessarily angry and bored. Hebu jaribu wakati una vijiasira, ule chochte, hata karanga za 200 na soda. Utaona matokeo yake,,

Heheeeee wewe lazima utakuwa unataaluma ya uuguzi au tiba (daktari),
Asante aisee hapo kwenye karanga za 200 na soda nimecheka am halfly healed.
Thanx doctor.
 
Asante sana kwa msaada wako nitaufanyia kazi kwa mara nyingine kidogo nimesmile ila natumaini sitashindwa kabisa so nitaishia msaada wako wa paragraph ya kwanza hii sentensi ya mwisho mh mh asante lakini hapana.

Hahahahaa hiyo paragraph ya mwisho umeiogopa bure. Hapo ungepata tiba ya kudumu na kamwe usingeweza kujua kusikia huzuni tena maishani mwako. Ila si mbaya tumia malezo ya mwanzo kupata ahueni ya muda mfupi!!!!

Picha kama hizi hapa zinaweza kukusadia kupunguza stress, loh!
funny.photo.1231.jpg

Au hii hapa ...
funny_0022.jpg

Huzuni isipoondoka, angalia hapa chini ...
funny.monkey.eating.popsicle.jpg

Mhhhhh ....
animated_1122.gif

funny_pee_in_pants.jpg
 
Back
Top Bottom