Nimebadili msimamo kuhusu September 1

We si chadema bana....
 

Duh DM katika ubora wake maana unabadil maana ili ujifariji .Wahenga walisema "Uzuri uko kwenye macho ya mpendaji"
 
Humu tz kuna watu roho zao ngumu kama al shabaab, boko baby, isis na wengine al kaidaz ni vigumu kubadilika washaambiwa hamruhusiwi kuandamana wao ndo kwanza wanajiandaa, dora haitashindwa mtambue.
 

Afadhali umeacha kuandamana maana haujitambui. Nani alikwambia waandamanaji wangerusha mawe au wangerushiwa mawe na wananchi wa kawaida? Watu kama wewe ndio wanfumaniwa na wake zenu; halafu mnawageuka na kuanza kuwapinga kwa kuwauliza kwani umekosa nini?. Nimeenda na chakula, hakuna chakula nyumbani? Umekosa nini? Na watawala wengi wa africa wanatabia hiyo ya kutojali haki za kibinadamu. Kwani wanaCCM wao hawpati hivyo vitu manavyodai kuwa ni muhimu katika maisha ya watu wengine? Ubinafsi tu.
 
Haahaaa,hata Mwalimu aliwahisema ukaburu siyo rangi! Hivyo ni vema ukaelewa kujitoa kwako ni jambo la heri kwasababu wanaharakati siku zote huwa wachache! Hata Mwalimu alipoanza kuinyosha nchi dhidi ya wakoloni hakuwa na timu ya watu wengi!
Ukabulu ni mawazo yako
 
Unajitahidi kujenga hoja, hata hivyo uwongo ndio una athiri thinking capability yako.
Ungejengea kwenye msingi wa ukweli. Hoja zako zingekua makini zaidi.
Mfano hoja namba 5 na namba 8.
Uhongo gani mkuu
 
UKUTA sio vurugu na kutupiana mawe...wewe ulielewa au umeelwa vibaya au hujaelewa moja kwa moja...kama wewe hauandamamni kaa kimya sio unaleta uwongo wako hapa wakati maandishi yako tu yanakushtaki kuwa ni kada wa ccm.
Lakini ungesababisha maafa
 
Katika neno la kipuuzi ulilolijumuisha ni hili la "mh Magufuli hawezi kuongoza nchi zaidi ya mwaka 2026." this is nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…