Nimebadili msimamo kuhusu September 1

Siasa bana angalia hapa makamanda walivyosimamishwa na kudhalilishwa.



Halafu angalia hapa Lowassa ana party na rais Magufuli na kina Kinana.

Halafu kuna watu wajiita wafia Chadema wanataka kufa kwenye maandamano.
 
Hizo ndizo rangi mbalimbali za wafuasi wa Chama cha kijani ambacho hata shetani amekishitukia
 
Mkuu watu wakiwa wanafiki ujanani, uzeeni huwaga wachawi.
Chunga sana
 
hawakuwa wanaparty bali walikuwa wanasalimiana unatudanganya hata kwa picha tunazoziona? halafu kumbe ninyi ndio manopenda siasa za ugomvi mara zote eeeh?!!
A party is a gathering of people who have been invited by a host for the purposes ofsocializing, conversation, recreation, or as part of a festival or other commemoration of a special occasion. A party will typically feature food and beverages, and often musicand dancing or other forms of entertainment.

Sasa kwako sijui party ni nini.
 
sasa britanicca kwani chadema wametangaza mandamano yanaanzia wapi??usiogope unaweza andamana indirect bila kujua...by just wearing the same dress code au rangi ya nguo....as long as u had a wish na unaogopa polisi na ukoo wenu kupungua its okay....tuwaache wenye kujua wat they want sisi wengine tunyamazee
 
Ok kaka
 
Naona list ya wanaoendelea kubadili misimamo yao inazidi kuongezeka siku hadi siku.

Nakumbuka mafundisho ya dini kuwa na msimamo
 

Wewe unaonekana wala hukupanga kuandamama toka mwanzo. Lakini naamini hapa JF kuna watu wenye akili zao wameshajua kitu unachokifanya, hizi zinaitwa propaganda.
 
Naona list ya wanaoendelea kubadili misimamo yao inazidi kuongezeka siku hadi siku.

Nakumbuka mafundisho ya dini kuwa na msimamo

Sasa Kama mchunga kondoo kasepa unafikra kondoo wafanye nini.
 
Yani Lowasa ambaye aliwahi kuwa waziri mkuu asihudhurie tukio la Mkapa aliyekuwa rais kwasababu tu ni mpinzani?
Hizi ndiyo siasa kama hujui siasa utahamaki ila watu wazima wameelewa ndiyo maana baadhi ya makada wa ccm wamepanic kwani hii ni move ya hatari kwao as huyu mtu ana bank of people nje na ndani ya CCM kwa tukio hili amewaweka watu wake pamoja regardless vyama vyao.
 
Lumpen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…