Nimebadili msimamo kuhusu September 1

Kwahiyo ningesema nimekuwa na msimamo kuhusu September 1?
Huwezi kusema kama uliuwa na msimamo kuhusu Septemba 1 wakati huna na hujawahi kuwa na msimamo.Mwenye msimamo hajipigii tarumbeta!
 
Hakujitundika msalabani bali alitundikwa Na wenye kudhani wanajua kuliko yeye!
 
Wakati viongozi na wabunge wa Chadema wanakamatwa na kufunguliwa kesi za uchochezi kuhusu UKUTA Lema na wenzake Lowassa, yupo na kina Mkapa na makada wengine wa CCM wana party huku wanakunywa wine.
 
Unasema "duniani kote mabadiliko huletwa na wachache" lete majibu dunia ya leo sehemu gani wameleta mabadiliko kwa maandamano???
swali dogo, mara Lumumba mara tshirt.
misrii au upo dunia ya wapi
 
Haahaaa,hata Mwalimu aliwahisema ukaburu siyo rangi! Hivyo ni vema ukaelewa kujitoa kwako ni jambo la heri kwasababu wanaharakati siku zote huwa wachache! Hata Mwalimu alipoanza kuinyosha nchi dhidi ya wakoloni hakuwa na timu ya watu wengi!
 
Unajitahidi kujenga hoja, hata hivyo uwongo ndio una athiri thinking capability yako.
Ungejengea kwenye msingi wa ukweli. Hoja zako zingekua makini zaidi.
Mfano hoja namba 5 na namba 8.

Kwani kila aliyetakiwa kuandamana ni chadema? Mi ni CUF Mwana UKAWA
 
Unajitahidi kujenga hoja, hata hivyo uwongo ndio una athiri thinking capability yako.
Ungejengea kwenye msingi wa ukweli. Hoja zako zingekua makini zaidi.
Mfano hoja namba 5 na namba 8.
Asante mkuu lakin mi ndo sababu hizo zilizo nifanya nisiandamane
 
UKUTA sio vurugu na kutupiana mawe...wewe ulielewa au umeelwa vibaya au hujaelewa moja kwa moja...kama wewe hauandamamni kaa kimya sio unaleta uwongo wako hapa wakati maandishi yako tu yanakushtaki kuwa ni kada wa ccm.
 
mi nakujua vizuri tu wewe we siunauza flani za kijani pale lumumba sasa iweje leo utuambie ulitaka kuandamana kama sikutudanganya pia naskia posho mmeongezewa kwa kazi nzuri mnazofanya mitandaoni
Hoja nzuri Ila nyepesi mno.pia imeonyesha upande uliopo
 
UKUTA sio vurugu na kutupiana mawe...wewe ulielewa au umeelwa vibaya au hujaelewa moja kwa moja...kama wewe hauandamamni kaa kimya sio unaleta uwongo wako hapa wakati maandishi yako tu yanakushtaki kuwa ni kada wa ccm.
Hapana we ndo uelewi hakuna cha maandamano kama yamekatazwa hakuna, hata yawe ya malaika tupu lakin hayaruhusiwi
 
Wakati viongozi na wabunge wa Chadema wanakamatwa na kufunguliwa kesi za uchochezi kuhusu UKUTA Lema na wenzake Lowassa, yupo na kina Mkapa na makada wengine wa CCM wana party huku wanakunywa wine.
Umeona ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…