Mimi ni mdada ambae sijaolewa ni mcha Mungu sana, nimezaliwa katika familia ya kichungaji.Nimekua nimetembea nimesoma so nikaamua kuwa muislam, kwa sasa hakuna hata mtu mmoja anaejua kwasababu naogopa kuliweka wazi sipendi family conflict.
Ninae mpenzi wangu sijawai mtambulisha kwa yoyote kutokana na maadili ya familia ila anasisitiza sana nimpeleke. Kwao yeye kanitambulisha kwa mama yake dada zake wapwa zake marafiki nk.Tatizo ni kwamba yeye ni mkristo tulikuwa tunasali pamoja, tulikuwa tumeokoka.
Naogopa kumuambia, nifanye visa gani aniache maana sitaki kumuumiza moyo
najua kuslim hatokubali.
Asanteni.