my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
waambie wasipokubaliana na wewe jilipue kama ISIS
we dada na visired vyako bwana......sio ww uliesema uko na uvimbe na hujawaambia wazaz...kila kitu sijawaambia wazaz...
tulia shuleni ukasome, u-star wa humu hauna faida kbsaa utaishia kuharibia maisha yako bure.
mawazo yangu lakini.
ulishapona uvimbe kwenye K yako?
mara ya mwisho ulituambia una uvimbe na unaogopa kuwaambia wazazi wako.