phytohaemoglutinin
Member
- Oct 17, 2014
- 31
- 14
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25... hapo mwanzo nlikuwa na mpenzi wangu bahati mbaya mwaka jana mnamo august tukaachana.. sasa kwa hasira nkaanza tabia ya kutembea na makahaba. siku ya kwanza ilikuwa itigi sehemu maarufu sana morogoro.nikiwa pale nilikaa peke yangu nikiwaA hili na lile mara akatokea dada poa mmoja akaniuliza km nlikuwa nataka huduma,kwanza nlikataa ila alinibembeleza akaniambia elfu kumi kwa bao moja na gharama ya gest juu yake ikabidi nkubali tukaenda..sasa baada ya hapo ikawa ndo mchezo wangu nkijisikia tu naenda kupata cha fasta narudi home. kivumbi nliporudi dar ikawa ndo tabia yangu sasa tabia hii naona imekithiri mpaka inafikia siwezi kukaa siku tatu bila kwenda kununu.naombeni ushauri nifanye nini ili niache maana naona ni tatizo maana nimejaribu kuwacha nimeshindwa...