Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Nimeacha kitambo mno.Pole, umeacha utundu lakinii?? Halafu nina wasiwasi na ile asilimia 49, labda ndo maana mama anatembeza kichapo kikuu
Hiyo 49 angekuwa baba hapo sawa. Mama tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]Pole, umeacha utundu lakinii?? Halafu nina wasiwasi na ile asilimia 49, labda ndo maana mama anatembeza kichapo kikuu
Duh!!.Kwa Lugha rahisi humpendi mama yako.
Dogo utakuwa na laana! Kuna post yako humu umeomba ushauri dada yako anakutaka kimapenzi, nyingine inadai mpenzi wako ukimpa elfu 10 kesho anakudai elfu 10x2,Kwanza habari zenu wadau,,kiukweli mi nahisi saikolojia yangu imevurugika,..Nilipokuwa mdogo nilikuwa mtundu sana,sasa mama alikuwa akinipa dozi ya kichapo kama mbwa mwizi,,ilifikia hatua akawa ananiwekea kisu shingoni kama anataka kunichinja,,nilikuwa nakung'utwa soli za viatu mpaka basi,,amekuwa akinitamkia maneno makali sana hata nikikosea kitu kidogo tangu nikiwa mdogo hadi nikiwa mkubwa,, sasa nimekuwa bila amani na mamaangu,,na kadri siku zinavyozidi kwenda ndo nazidi kukosa aman na ule upendo wa kutoka moyoni haupo tena kisana kwa mama angu kiasi hata kummisi inakuwa ngumu sana,,,najua hakuna kama mama,najitahidi niishinde hiyo hali lakini nashindwa,,naombeni mnishauri njia ya kuurejesha moyo wangu kwenye hali ya kawaida..[HASHTAG]#Nishaurini[/HASHTAG]..
Tatizo watu wengi huwa tunataka kuwatazama wazazi kama 'watu perfect'
kumbe mzazi wako anaweza kabisa kuwa 'mgonjwa wa akili'
jifunze kuwatazama watu na mapungufu yao utajikuta huwalaumu
soma sana vitabu
hasa vya saikolojia
Kama sio laana ni muongo alie fuzuDogo utakuwa na laana! Kuna post yako humu umeomba ushauri dada yako anakutaka kimapenzi, nyingine inadai mpenzi wako ukimpa elfu 10 kesho anakudai elfu 10x2,
Leo umekuja na chuki na mama yako.
Explain it hii imekaaje?Tafuta mke uoe wewe...we hujagundua tu!
Duh!!.Kama sio laana ni muongo alie fuzu
Basi nenda hata umwambie Bi mkubwa nataka kuoa...Kisha lete mrejesho hapa...hujiulizi nimejuaje Hujaoa?Explain it hii imekaaje?
vip mkuuDuh!!.