Nimeanza mwaka vibaya, nimekutana na jambo la ajabu wakati wa ku-sex

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,467
23,754
Huyu demu mwaka jana kanisumbua kinoma. Mwaka jana nimemtoa Krismas, nikamtoa Boxing Day, nimekuja mtoa out Mwaka Mpya.

Kanikubalia tukakeshe wote, tumeenda vizuri kanywa mipombe yake kama sumu, mikali sana. Dada anakunywa Yohana Mtembezi (Johnny Walker) anamaliza mweyewe halafu anakunywa Heineken kama 20 hivi, nilichoka mwenyewe.

Tumeenda Lodge nataka niingize Mwaka Mpya. Tumeenda ameoga nikaoga tumerudi kitandani nimemuandaa kawa tayari nianze kumgegeda, akafurahi sana kalegea maana alikuwa hoi. Mara akanikamata kwa nguvu then nimeingia tu daaah, akakata network!

Akawa anatumbua tu mimacho kama chura. Kila nikijaribu kugonga angle tofauti tofauti namwona amekodoa tu mimacho nikahisi pengine amekufa maana nimejitahidi kinyama aaah wapi, demu ametumbua tu mijicho.

Nikashuka kitandani nikaanza kuvaa haraka haraka niondoke mdogomdogo maana nikawaza hapa ndo kuandikwa magazetini nimeua. Ile nataka kutoka ndiyo ananambia: "xxx wapi tena usiku huu unataka niacha?"

Nikaropoka, "Kumbe hujafa" akashtuka, "xxx mbona sikuelewi?" Ndiyo nikamsimulia akasema ndivyo alivyo. Huwa anapoteza fahamu sometimes utamu ukimzidia.

Nikashangaa sana, demu anatumbua mijicho kama kafa eti yeye ndiyo anakuwa ame-enjoy mpaka basi.

Hii kitu ndiyo nmekutana nayo mwaka huu. Nimemsimulia jamaa yangu anasema wapo wanawake wa hivyo.

Ni kama mtu unatembea na madawa ya kulevya aiseee. Sitaki tena hilo jambo!
 
Hii inshu ilisababisha nisimuoe dada mmoja hivi tuliyependana sana.

Ilikuwa mara nyingi tukifanya sex anazimia! Ila kuna siku pia alikuwa hazimi!

Nilikuwa naogopa sana. Nikawaza tukioana huyu ipo siku atazimika nipate murder case. Japokuwa kuna wakati namkumbuka sana. Kwa sasa ningemuona kabla hajaolewa ningechukua jiko jumla.

Niliwahi kuuliza hii inshu inasababishwa na nini ila sijajibiwa.

Mshanajr
 
Ilinibidi niulizie hata kwa washkaji.jamaa mmoja akasema wapo wa hivyo.sikumwamini kabisa.lakini baada ya kusoma hii text yako sasa naanza elewa.why unasema huyo ungetamani kumwoa?

Hii inshu ilisababisha nisimuoe dada mmoja hivi tuliyependana sana.

Ilikuwa mara nyingi tukifanya sex anazimia! Ila kuna siku pia alikuwa hazimi!

Nilikuwa naogopa sana. Nikawaza tukioana huyu ipo siku atazimika nipate murder case. Japokuwa kuna wakati namkumbuka sana. Kwa sasa ningemuona kabla hajaolewa ningechukua jiko jumla.

Niliwahi kuuliza hii inshu inasababishwa na nini ila sijajibiwa.

Mshanajr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule yenu haijafunguliwa? Acha wanaume na wasichana watu wazima watoe experiences zao.nyie watoto mlipaswa muwe mmeshaenda kukojoa na kulala muda huu.kesho uwahi shule.subiri uje upate mume akuoneshe au akusimulie mikasa aliyokutana nayo kabla hajakuoa.😁😁😁

Hii ni gahawa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule yenu haijafunguliwa? Acha wanaume na wasichana watu wazima watoe experiences zao.nyie watoto mlipaswa muwe mmeshaenda kukojoa na kulala muda huu.kesho uwahi shule.subiri uje upate mume akuoneshe au akusimulie mikasa aliyokutana nayo kabla hajakuoa.😁😁😁

Nikaropoka, "Kumbe hujafa" akashtuka, "xxx mbona sikuelewi?" Ndiyo nikamsimulia akasema ndivyo alivyo. Huwa anapoteza fahamu sometimes utamu ukimzidia.

Hapo umetupiga nyundooo eti ahaaa kumbe hujafa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom