Nimeanza kutembea mtanikomaje?

simakoku

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
589
Reaction score
678
Haka katoto nafikiri kalikuwa kanasubiri kwa hamu kweli kaanze kutembea ili katoke na high heels, ndio madhara ya kuvaa high heels ukiwa mjamzito, katakuwa kalimuona mama yake kakiwa tumboni.


 
mtoto wa nyoka hawezi kuwa ngedere hata siku 1, mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Hahahhahahhahahahahhahahaha...kaanza ushangingi mapeeeeeeeeemaaa....
 
ameiba viatu vya dada yake atakuwa anakuja kwangu
 
mguu mmoja umeanza kuota vigimbi kama wadada wa mkoa wa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…