sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Kutibu udhaifu wa macho funga usile chakula kwa asubuhi mpaka jioni kiza inapo ingia kwa muda wa siku 40 wakati wa usiku kula mboga za majani na matunda usile nyama ya aina yoyote wala maziwa, wala mtindi,mayai kwa huo muda utapona. Na njia ya pili tumia njia ya Mkojo wako wa asubuhi usafisha macho yako utapona angalia hiyo video hapo chini.Wakuu wangu, wenye ku experience tatizo kama langu naomba msaada.
Hivi karibuni, around miezi kadhaa imepita, uwezo wangu wa macho umeanza kupotea, kiasi cha kupata tabu kuingiza vocha usiku hadi niwashe mwanga mkali, muda sio mrefu ndani ya mwaka nilikuwa nina uwezo mkubwa tu naingiza vocha au kusoma maandishi madogo, lakini sasa hivi ni shida.
Nimeanza kupata shida hii baada ya kuanza kazi ngumu, nimepunguza sana kutembea na vyombo vya moto kama pikipiki, natembea kwa mguu, tangu nimeanza haya mazoezi ndo naanza kuona hili tatizo, nina miaka 43 kama kuna mtu alisha kuwa na tatizo hili naomba ushauri.
Sipendi mtu aje hapa afu aniambie nenda hospitali ukapime, hospitali nataka iwe last resort.
Nataka njia natural ya kuondoa hili tatizo.
Ahsante
MziziMkavu
Kaveli
Mshana Jr.
Sent using Jamii Forums mobile app
@EINSTEIN112Ukipata jibu la kuridhisha nitagi jicho langu moja lineanza kuzingua
Sent using Jamii Forums mobile app
hii kufunga kwa siku 40 hapana aisee ila altenative solution ntajaribuKutibu udhaifu wa macho funga usile chakula kwa asubuhi mpaka jioni kiza inapo ingia kwa muda wa siku 40 wakati wa usiku kula mboga za majani na matunda usile nyama ya aina yoyote wala maziwa, wala mtindi,mayai kwa huo muda utapona. Na njia ya pili tumia njia ya Mkojo wako wa asubuhi usafisha macho yako utapona angalia hiyo video hapo chini.
asante jamaa angu
ni shiida ya kaiida sana iyo pia nina imani kabisa umevuka miaKA 38 NICHECK DM NITAKUSAIDIAasante jamaa angu
NICHECK DM IZO ZOTE NI SHIDA ZINAZOFAAMIKA KITAALAM WW NA MWENZIO ALIYEPOSTUkipata jibu la kuridhisha nitagi jicho langu moja lineanza kuzingua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unashindwa kufunga nitafute nipate kukutibia upate kupona.hii kufunga kwa siku 40 hapana aisee ila altenative solution ntajaribu
ntakuchek mkuu, upo nje ya nchi nini mkuu maana whatsap namba na ng'amboKama unashindwa kufunga nitafute nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
Jicho lipi...?Ukipata jibu la kuridhisha nitagi jicho langu moja lineanza kuzingua
Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHAHAAAA LA KICHWANI KUSHOTO
Kula matango,ndizi,parachichi ,karoti na mboga za majani.Wakuu wangu, wenye ku experience tatizo kama langu naomba msaada.
Hivi karibuni, around miezi kadhaa imepita, uwezo wangu wa macho umeanza kupotea, kiasi cha kupata tabu kuingiza vocha usiku hadi niwashe mwanga mkali, muda sio mrefu ndani ya mwaka nilikuwa nina uwezo mkubwa tu naingiza vocha au kusoma maandishi madogo, lakini sasa hivi ni shida.
Nimeanza kupata shida hii baada ya kuanza kazi ngumu, nimepunguza sana kutembea na vyombo vya moto kama pikipiki, natembea kwa mguu, tangu nimeanza haya mazoezi ndo naanza kuona hili tatizo, nina miaka 43 kama kuna mtu alisha kuwa na tatizo hili naomba ushauri.
Sipendi mtu aje hapa afu aniambie nenda hospitali ukapime, hospitali nataka iwe last resort.
Nataka njia natural ya kuondoa hili tatizo.
Ahsante
MziziMkavu
Kaveli
Mshana Jr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia vinywaji vikali?Wakuu wangu, wenye ku experience tatizo kama langu naomba msaada.
Hivi karibuni, around miezi kadhaa imepita, uwezo wangu wa macho umeanza kupotea, kiasi cha kupata tabu kuingiza vocha usiku hadi niwashe mwanga mkali, muda sio mrefu ndani ya mwaka nilikuwa nina uwezo mkubwa tu naingiza vocha au kusoma maandishi madogo, lakini sasa hivi ni shida.
Nimeanza kupata shida hii baada ya kuanza kazi ngumu, nimepunguza sana kutembea na vyombo vya moto kama pikipiki, natembea kwa mguu, tangu nimeanza haya mazoezi ndo naanza kuona hili tatizo, nina miaka 43 kama kuna mtu alisha kuwa na tatizo hili naomba ushauri.
Sipendi mtu aje hapa afu aniambie nenda hospitali ukapime, hospitali nataka iwe last resort.
Nataka njia natural ya kuondoa hili tatizo.
Ahsante
MziziMkavu
Kaveli
Mshana Jr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda simu ndo iwe imeniharibia uwezo wangu wa macho, maana kusema ukweli sasa ivi nasoma kupitia ipad na mara nyingi nipo kwenye hii simu.Unatumia vinywaji vikali?
Unafanya kazi eneo lenye vumbi na kemikali? Au mwanga mkali?
Unatumia maji kiasi gani? Ulaji wako wa mboga za majani ukoje?
Between I strongly advise ukapime hospital.. Pia ucheki na pressure kwakuwa kuna pressure ya macho
Jr[emoji769]