Nimeanza kupimiwa utamu

Nimeanza kupimiwa utamu

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
844
Reaction score
1,169
Habari za mida wana JF na poleni na majukumu,

Ni mwezi toka nifanye mapenzi na msichana wangu, mara ya mwisho sasa ananichenga isivyo kawaida kila tukipanga ikikaribia siku husika inatokea kijisababu.

Sasa mimi hii tabia inanichosha.Naombeni ushauri wenu nifanye nini wakuu
 
Juaa hukumpaa yenyewe mzee ulipapasaaa...!!
 
Kuna njemba linamzingua vile inavyopasa.

Habari za mida wana jf na poleni na majukumu

Ni mwezi toka nimgegede dem wangu mara ya mwisho sasa ananichenga isivyo kawaida kila tukipanga ikikaribia siku husika inatokea kijisababu sasa me hi tabia inanichosha sasa naombeni ushauri wenu nifanye nn wakuu
 
Ingekuwa mke wako ningekupa solution lakini sito solution kwa wazinzi na wahasherati kwa sababu hata mimi mwenyewe nimeshaacha uzinzi mwaka wa 2 sasa na nimepanga kuiona tena papuchi ni hadi nitakapooa!!
 
Inawezekana we ni mvulana ujui kumkuna kaamua aende kwa watu wazima wanaojua kukuna vipele.
 
1. Hukumtomba vizur, kwahiyo kuna jamaa kakuzidi mauno

2. Pili ni uzembe kuwa na malaya m1 hapa mjini, ni ukioa tu ndio itabidi uache ukiboro dinda. Enzi zangu nilikuwa nina magoma kama yote, machocho yote ya malaya niliyajua, nilitumia ujana wangu ipasavyo, mara chache sana nilikuwa katika mahusiano nakuwa na mwanamke mmoja, ikuwahi kumuamin mwanamke.
Ujana wangu niliutumia vizuri, sasa sioni jipya nimejituliza.


Uache kuja kulalama kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu.
 
Ngoja usaidiwe mkuu,umeshindwa kufanya kazi yako vizuri!
 
Back
Top Bottom