Nimeanza kuonja madai ya walimu

Tangu ukiwa mdogo umekuwa ukisikia malalamiko ya waalimu, na bado haikukupa tahadhari ya kuchagua taaluma nyingine mpaka yakukute?
 
Hicho Chuo chenu cha maji cha maingineer wenye division four...
 
Nikuulize swali wewe kijana, hivi kabla hujapata hiyo ajira uliokua unaililia kila kukicha si ulikua unakula ugali wa shikamoo???? Kwa nini usiendelee kula huo ugali huku ukivuta subra...
 
Nikuulize swali wewe kijana, hivi kabla hujapata hiyo ajira uliokua unaililia kila kukicha si ulikua unakula ugali wa shikamoo???? Kwa nini usiendelee kula huo ugali huku ukivuta subra...
Subira nishaivuta vya kutosha kipindi sina ajira mkuu,
Sa iv mambo yanatakiwa yawe mubashara
 
Tangu ukiwa mdogo umekuwa ukisikia malalamiko ya waalimu, na bado haikukupa tahadhari ya kuchagua taaluma nyingine mpaka yakukute?
Mkondo ulinielekezea uku,
No way out
 
Ha ha ha ha pole mkuu
 
Nimehamishwa toka sekondari kwenda msingi toka mwezi Wa pili mpaka mwezi huu sijapewa stahiki zangu, kila siku wanapiga makelele tu usihame bila kupewa stahiki zako lakini ni habari za majukwaani
 
Nimehamishwa toka sekondari kwenda msingi toka mwezi Wa pili mpaka mwezi huu sijapewa stahiki zangu, kila siku wanapiga makelele tu usihame bila kupewa stahiki zako lakini ni habari za majukwaani
Ni kuvumilia tu mkuu
 
Write your reply...
kawaida watumishi wApya mshahara wa kwanza huwa unachelewa kutokana na mlolongo mrefu wa kuhakiki majina hadi ngazi ya hazina
mwez unaofuata utapata pia utalipwa na huo mwez ambao hujapata usiwe na harak kijana
nilikuwa nafanya kaz hiyo ya kuhakiki majina najua process
 
Na walokaa miezi miwili hadi mitatu nini shida?
 
Na walokaa miezi miwili hadi mitatu nini shida?
waliokaa miez miwili au mitatu,ni uzembe wa hAlmashauri husika kucheleweshA ripoti za majina kwenda hazina
halmashauri nyingine ma ded na Maafisa utumishi n wazembe
nyngi ya halmashauri hazipitishi mwez mmoja
 
Sawa mkuu
 
Sio nuksi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…