GE2025 Nimeanza kumuelewa Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Zanzibar huduma za afya bure,why bara hakuna?

Jiwe alisema hii nchi ni tajir,kiukweli hatutumii tu rasimali za taifa vizur

Zanzibar Afya bure toka tupate uhuru, kabla ya hata muungano, Samia anahusikaje hapo?
 
Zanzibar Afya bure toka tupate uhuru, kabla ya hata muungano, Samia anahusikaje hapo?
Sikulijua hilo ingawa naona siku hizi pia wameanza kutoa chakula kwa wagnjwa

Hata kama ni hivyo,je Haifai huku bara kuwa na huduma ya bure?

Kipi kinachoshindskana? Hata kama watangulizi wake hawajafanya,je ni nini maana ya kuwa na awamu Mpya na uongozi mpya?
 
Kama anafanya yote hayo kwa manufaa ya wananchi na wala si maandalizi ya kuchumia tumbo lake, basi anastahi Tunzo ya amani na umojaa...
 
Na inavyooshesha mara baada ya uchaguzi,Samia yatamkuta ya Magufuli.Kama kweli alichosema Polepole kuwa Samia alitaka kumuondoa Nchimbi kwenye ugombea Mweza akatishwa akatishika.
 
Walipandikiza mi umbu pale jangwani,mbu walizaliana kwa wingi sana. Nadhani ndio chanzo cha kuongezeka mambukizi mapya ya maralia.
 
Walipandikiza mi umbu pale jangwani,mbu walizaliana kwa wingi sana. Nadhani ndio chanzo cha kuongezeka mambukizi mapya ya maralia.
Mwisho wa siku hatujui lengo hasa lilikuwa ni nini?
 
 
Hahaha alinishangaza kuwashauri ccm na mgombea asiye mtaka, aliyepatikana kimakosa, ambaye hakupaswa kuwa mgombea, ambaye kakiuka katiba, eti wahubiri haki kwenye kampeni haramu!?

Yani wakihubiri haki inawapa uhalali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…