Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,774
- 24,209
Kwa wale wenye macho ya kuona mbali kama sisi ( great thinkers) wa hapa jf nadhani atakubali Kuna kitu hakipo sawa pale mjini Simba Kwa fact zifuatazo:
1. Kila Simba ikianza kushine na kuanza kufanya vizuri....Kuna raia wanachomoa betri
Mfano kabla ya Nov 5 ...kabla ya Simba kula Simba ilikuwa na kikosi chenye confidence kubwa ...kiasi wananchi waliogopa ...lkn kilichotokea Hadi Leo hatuamini ....2nd half Simba ilipigwa 4
2. Ujio wa benchika Simba imeonakana kushine tena .. wydad kala zake 2 . mashabiki wameanza kufurahi .( Wakasema dhambi za onana wapewe wao)...wajanja wamechomoa betri Kwa Chama ..timu imerudi kwenye mgawanyiko Mechi ya kmc Simba kadondosha points
Kuna wataalamu wamekaa zao wanacheza draft ...na kete za Simba zinasukumwa kitaalamu kweli kweli
NB: tuseme tu ukweli ...kipindi hiki Yanga Iko vizr kiuchumi ...Simba ni ngumu kufurukuta .... Kwa soka la nje ya uwanja hapa TZ ( but Kwa michezo ya kimataifa wanaweza kuendelea kufanya vizuri