The king 07 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 1,054 Reaction score 2,467 May 31, 2024 #2 Endelea kuangalia huo mzigo
spectator Ion JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 350 Reaction score 374 May 31, 2024 #3 Bonge ya series iyo.
FEBIANI BABUYA JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 2,232 Reaction score 4,388 May 31, 2024 #4 Hii series ilinilazimu hadi kuangalia word to word. Nilishangazwa mno na watu ambao wanaifananisha ubora na GOT. Nilisikitika sanaaaaaaa.
Hii series ilinilazimu hadi kuangalia word to word. Nilishangazwa mno na watu ambao wanaifananisha ubora na GOT. Nilisikitika sanaaaaaaa.
mwanaume suruali Member Joined Jan 26, 2016 Posts 40 Reaction score 42 May 31, 2024 #5 Jessie,let's cook
Mzalendo Uchwara JF-Expert Member Joined Jan 26, 2020 Posts 5,121 Reaction score 15,860 May 31, 2024 #6 Moja ya TV show ambayo naweza kuhakikishia inazidi kuwa nzuri unavyozidi kwenda mbele. Yaani huko season 2 na kuendelea ni moto wa kuotea mbali.
Moja ya TV show ambayo naweza kuhakikishia inazidi kuwa nzuri unavyozidi kwenda mbele. Yaani huko season 2 na kuendelea ni moto wa kuotea mbali.
mwanaume suruali Member Joined Jan 26, 2016 Posts 40 Reaction score 42 May 31, 2024 #7 Attelan said: Jesse anaamini mwalimu wake wa Chemistry Walter White ni artist 😂😂 Click to expand... No spoiler
Attelan said: Jesse anaamini mwalimu wake wa Chemistry Walter White ni artist 😂😂 Click to expand... No spoiler
Sicario poison JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,327 Reaction score 4,574 May 31, 2024 #8 "If you've gone crazy i mean it,tell me if you have gone crazy because its affects me man what!your like 60 and you decided to cook crystal meth! Find the RV we start tommorow
"If you've gone crazy i mean it,tell me if you have gone crazy because its affects me man what!your like 60 and you decided to cook crystal meth! Find the RV we start tommorow
FEBIANI BABUYA JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 2,232 Reaction score 4,388 Jun 1, 2024 #9 Attelan said: Vipi ni ya kawaida sana? Maana nimeianza hivi karibuni, kwasasa nipo Episode ya tatu nasubiri siku ya kesho niendelee nayo. Click to expand... Ni nzuri ila ni kama ipo overrated sana
Attelan said: Vipi ni ya kawaida sana? Maana nimeianza hivi karibuni, kwasasa nipo Episode ya tatu nasubiri siku ya kesho niendelee nayo. Click to expand... Ni nzuri ila ni kama ipo overrated sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,908 Reaction score 193,872 Jun 1, 2024 #10 Kila la kheri... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 74,263 Reaction score 183,157 Jun 1, 2024 #11 Smart911 said: Kila la kheri... Cc: Mahondaw Click to expand... Wewe ushaziangalia lo??