Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Mkuu vipi hii inaua mende pia?Nikufunze dawa nyingine kali sana na inaua kwa 100%..... Siku ingine just chukua mafuta ya TAA ya kutosha, Chukua sabuni ya unga (OMO) hata ya jero ile, na pia chukua chumvi hata ile packet ya 500.... Haya changanya huo mchanganyiko wote na koroga mpaka upate rojorojo flani hivi, kisha chuja na yale maji pulizia sehemu yenye hao wadudu.... KAMWE huwezi kuwakuta huu mchanganyiko unawaua papo hapo ukimpata...
Nimetumia sana hii njia ya kienyeji kuwamaliza kule kijijini kwa bibi angu baada ya kwenda na kuwakuta kwenye geto la vijana...
Mi Kunasehem nililala nikarudi nao homeMnawatoaga wapi?
Basi sisi.kwetu Ni.mafukara Sana...Tena tuna na ile.mijusi ya ndani...Unganisha na mende
Wahindi unawambiajePanya na kunguni ni dalili kuu ya ufukara
Na uchafuPanya na kunguni ni dalili kuu ya ufukara
Nazungumzia katika jamii yetu ya kitanzaniaWahindi unawambiaje
Hizo mbinu tulizitumia JKT kwa yale mablanketi mazito.Hawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.
Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.
View attachment 1591388
Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.
Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni[emoji28][emoji28]
Tungakuwa tunajua sidhani kama tungekuwa naoMnawatoaga wapi?
Wee jombaa ni mkavu kinyama unaishi na hao viumbe kwani hunaga ata manzi wa kukupa maushauri ya usafi ArifuHawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.
Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.
View attachment 1591388
Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.
Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni[emoji28][emoji28]
ila kunguni anasumbua aisee, ila ukilala umeharibu kichwa huwasikii kabisaBasi sisi.kwetu Ni.mafukara Sana...Tena tuna na ile.mijusi ya ndani...
Tunaishi fresh kabisa.
Ufaransa Pia inasumbuliwa na kunguniPanya na kunguni ni dalili kuu ya ufukara
Hao wazee wa kazi wana roho saba kama paka,mpaka utupe magodoro ndo wataishaHawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.
Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.
View attachment 1591388
Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.
Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni[emoji28][emoji28]
Pole ndugu,home ni mwananyamala kwa myogore,manzense kwa tumbo au wapi ndugu🤔Hawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.