Ni kweli, mimi nilitumia kila mbinu iliyotajwa hapa ilishindikana. Niliwaachia room kwa miezi mitatu nilivyorudi nikakuta wote wamekufa ndio ilikuwa pona yanguHao wakishaingia ndani hawaondoki
Muda utathibitisha hilo
Nakubaliana na weweKunguni wanafuata uchafu ila amini usiamini kuna kunguni kutoka ulimwengu wa roho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eehhh jaman[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] au sio....hayajakukuta
Omba yasikukute mimi nakuambia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eehhh jaman
Nikufunze dawa nyingine kali sana na inaua kwa 100%..... Siku ingine just chukua mafuta ya TAA ya kutosha, Chukua sabuni ya unga (OMO) hata ya jero ile, na pia chukua chumvi hata ile packet ya 500.... Haya changanya huo mchanganyiko wote na koroga mpaka upate rojorojo flani hivi, kisha chuja na yale maji pulizia sehemu yenye hao wadudu.... KAMWE huwezi kuwakuta huu mchanganyiko unawaua papo hapo ukimpata...Hawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.
Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.
View attachment 1591388
Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.
Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni[emoji28][emoji28]
Una bahati tu, Kunguni unaweza kuacha/kimbia geto hata miezi 3 na bila hata kula damu na wakasurvive tu, ila wanakuaga weupe hawana damu siku ukirudi getoni wanakushughulikia hata mchana kweupeee wanakunywaga damu mpaka wanashindwa kutembea maana wanavimbaga miili yao sana sabu ya kukaa kiu na njaa ya muda mrefu...Ni kweli, mimi nilitumia kila mbinu iliyotajwa hapa ilishindikana. Niliwaachia room kwa miezi mitatu nilivyorudi nikakuta wote wamekufa ndio ilikuwa pona yangu
Hahaha na ninaomba yasije nikutaOmba yasikukute mimi nakuambia
Ni kweli, mimi nilitumia kila mbinu iliyotajwa hapa ilishindikana. Niliwaachia room kwa miezi mitatu nilivyorudi nikakuta wote wamekufa ndio ilikuwa pona yangu
Sio uchafu... Saa zingine unaweza ukaenda mahali ukawabeba.. Ukawaleta home bila kujua..wakishaingia kwenye sofa kutoka ni majaliwaWewe ni mchafu... Full Stop and long braek
Aisee hongera kunguni ana dhalilisha sana !; anatokea hadharani mbele za watu bila weww kumuona jamaa wanakwambia aisee vipi!?? Unafunga hawa jamaa!??? AibuuuHawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.
Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.
View attachment 1591388
Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.
Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni[emoji28][emoji28]
Hawa wadudu ni wasumbufu sana, ni jambo jema kuwadhibiti/tokomeza.
Wale wanaopretend watoto wa kishua [emoji1787][emoji1787]Hatari sana.japo kuna watu wata kupinga watasema ao ni mende wakubwa waki jifanya hawa wajui[emoji23]
SUBIRI KIDOGO
Mbona nilisikia wanakaa mpaka mwaka kumngoja mwenyeji wao??Ni kweli, mimi nilitumia kila mbinu iliyotajwa hapa ilishindikana. Niliwaachia room kwa miezi mitatu nilivyorudi nikakuta wote wamekufa ndio ilikuwa pona yangu
Mimi pia nilitumia njiaa hii ya kuwachoma na maji Moto...Walikua wengi Sana kwenye mto...Hadi leo sijaona Tena hii kitu
Mkuu unasema kweli? kila aina ya sumu imeshindwa hapa kwangu, dogo alitoka nao shuleni nimekuwa balaa hapa!Nikufunze dawa nyingine kali sana na inaua kwa 100%..... Siku ingine just chukua mafuta ya TAA ya kutosha, Chukua sabuni ya unga (OMO) hata ya jero ile, na pia chukua chumvi hata ile packet ya 500.... Haya changanya huo mchanganyiko wote na koroga mpaka upate rojorojo flani hivi, kisha chuja na yale maji pulizia sehemu yenye hao wadudu.... KAMWE huwezi kuwakuta huu mchanganyiko unawaua papo hapo ukimpata...
Nimetumia sana hii njia ya kienyeji kuwamaliza kule kijijini kwa bibi angu baada ya kwenda na kuwakuta kwenye geto la vijana...
Mkuu huu mchanganyiko vipi unaua wale vititiri vya mbwa na je madhara kwa mbwa akiiramba?Nikufunze dawa nyingine kali sana na inaua kwa 100%..... Siku ingine just chukua mafuta ya TAA ya kutosha, Chukua sabuni ya unga (OMO) hata ya jero ile, na pia chukua chumvi hata ile packet ya 500.... Haya changanya huo mchanganyiko wote na koroga mpaka upate rojorojo flani hivi, kisha chuja na yale maji pulizia sehemu yenye hao wadudu.... KAMWE huwezi kuwakuta huu mchanganyiko unawaua papo hapo ukimpata...
Nimetumia sana hii njia ya kienyeji kuwamaliza kule kijijini kwa bibi angu baada ya kwenda na kuwakuta kwenye geto la vijana...