NIMEANDIKA KITABU, tatizo kupublish na distributer, MSAADA PLS! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NIMEANDIKA KITABU, tatizo kupublish na distributer, MSAADA PLS!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hute, Mar 30, 2012.

 1. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  WAJAMENI, nimefanikiwa kuandika kitabu kizuri sana, viwili actually, na lengo langu ni kuvitoa vitabu hivyo ili niviuze. mambo niliyoandika ni marketable sana hapa tz tena nimeandika kwa kiswahili kiasi kwamba kila mtu akikiona atakinunua bila shaka. tatizo langu ni kwamba, sijawahi fanya hivi, naombeni kujua kwa wale mlionitangulia kuandika vitabu, au wenye knowledge yeyote kuhusiana na hili.

  1. sina pesa kulipia publishing, kuna kampuni yeyote inaweza kuingia mkataba nayo?

  1. hata kama nikijipinda nikapata milioni kadhaa kama tatu hivi, je? ma distributor wepi wazoefu/wazuri wanaofahamika ambao naweza kufanya nao kazi kunisambazia kitabu changu tz nzimba? au how does the distribution thing work?
  nategemea msaada mzuri wa mawazo tafadhali. asante sana.
  NB; sijataja nimeandika kitabu cha aina gani, najua nikitaja tu, watu wengine watatoa kitabu kama hicho hata kabla changu hakijatoka....nafikiri huu ni ulimwengu wa ushindani.
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu umejuaje kama ni kizuri? najua ni ngumu kuhakiki kitabu ulichokiandika mwenyewe
   
 3. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  nimekihakiki kupitia watu waliobobea kwenye eneo hilo. nina uhakika na ninachoongea, ndio maana nimekuja hapa kutafuta namna ya kufinance, na kama kufinance ni ngumu, mwenyewe naweza lakini najua lazima nishirikiane na distributor mzoefu...upo? ndo maana nimeomba ushauri, hapa ni ushauri tu, ila kuhusu kitabu nina uhakika na ninachoongea.
   
 4. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  yaani hakuna anaeelewa wajameni?
   
Loading...