Nimeamua tuachane!

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Kila nikifanya kosa reference ya mazuri ni kwa e-x boy wake, oh baby mimi boy wangu alikua anaweza kuwithdraw nikiwa siku za htari, oh baby mimi boy wangu alikua anazama chumvini, oh baby mimi boy wangu alikuwa ananipa pesa bila hata kumuomba!
Sasa kama ndivyo kwangu ulifuata nini? nimeamua wakuu kunyosha mikono maana sisi akina yero hatunaga kuzama uvinza, kutoa pesa, kula pipi na ganda lake! sasa mtoto kila kosa ana-refer opposite yake kwa e-x wake mimi naona kuna siku watarudiana leo nakunywa sita hadi tisa nikitinga home sitaki kuona kiumbe chumbani kwangu!!!!!!!!
Kwa nini asishauri bila kumtaja e-x boy wake? kwani nilimlazimisha kumuacha? namuacha hanifai hata kidogo! cc kwa wale wote mnao wataja ma-ex kwenye new relation!
 
akitoa reference.... na wewe toa reference pia!

kwani huyo ndio kakutoa bikra? si ulikuwa na mwingine kabla?

sasa kwanini akuzidi maneno? kusoma HKL isiwe shida ati.. hata ninyi wa PCB mnaweza kuongea!
 
akitoa reference.... na wewe toa reference pia!

kwani huyo ndio kakutoa bikra? si ulikuwa na mwingine kabla?

sasa kwanini akuzidi maneno? kusoma HKL isiwe shida ati.. hata ninyi wa PCB mnaweza kuongea!

umenifurahisha sana wewe jamaa, kweli jf kiboko hata kama umenuna lazima utabasamu pembeni mgomvi wako anadhani umemsamee!!!!!!!!!!!
 
Hahahah, sikusema una matatizo wewe? Unakumbuka ulivyoshabikia yule mkaka aliye muua mkewe kisa kunyimwa kukagua simu?
Ref uzi wa Money Stunna.
Nilisema utakuwa mbabe na una gubu. Of course lazima akucokmpare na X. Shida yake yeye alisema kwa sauti, lkn wengine tuna compare kimoyo moyo.

Ukimuacha utamsaidia pia, n it will be good riddance.
 
Last edited by a moderator:
umenifurahisha sana wewe jamaa, kweli jf kiboko hata kama umenuna lazima utabasamu pembeni mgomvi wako anadhani umemsamee!!!!!!!!!!!

sikia, if you want to win over a talkative woman,

never let her voice be over yours!!

kamwe asiongee kukuzidi... atakufanya mtumwa wallahi!

dem kama huyo ilitakiwa umwambie she has nothing more than her bra! mbona angesalenda tu!
 
Uuuupsi let her gooo

Unaumiza kichwa kwa kipi??? Mgegedo wako unao eeeboooo toa moja weka mbili
 
leo nakunywa sita hadi tisa nikitinga home sitaki kuona kiumbe chumbani kwangu!!!!!!!!
Kwa nini asishauri bila kumtaja e-x boy wake? kwani nilimlazimisha kumuacha? namuacha hanifai hata kidogo! cc kwa wale wote mnao wataja ma-ex kwenye new relation!

haya nakutakia unywaji mwema....
 
angalia zisije zikapitiliza hzo sita to tisa.. ukaishia kumu-ufoo saro.
 
Na wewe ukome kuokota okota viruka njia. Tulia upate bint kindakindaki aliye bado ndani ya box, na km ni used basi mtumiaji asiwe mfujaji km mkurya!
 
Mimi siku zote nikianza mahusiano na bintii. Moja ya masharti nimpayo ni kuto kumuongelea X wake kwangu. Akijisahau namsamehe kwa mara ya kwanza. Mara ya pili nampa yellow card kwa onyo kali. Mara ya tatu red cad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…