Huna adabu kabisa those were personal issues wewe na walioku PM tena ukumbuke hawakutuma maombi bali walikujibu, sasa we ni jamvi la wagen na mate zake wa chuo, kwa niaba ya madume wenzangu tunakupotezea, na hata ukirudi hapa kwa ID nyingine hakika utaishia tu kukwaruriwa, mme mwema wako wewe alikuepo humu jamvin sasa we unaenda kutoa wapi sjui, kwaiyo zamani mkiwa mnasoma hakukuona? au kawa mgane? jiwe la mwanzo ndio huwa lina matunda, kwaiyo watake radhi wadau na hilo liheading lako li editor ukibisha basi ujijue una asili ya udungayembe.