Nimeamua sasa nataka kula bata

am a girl

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
748
505
Nataka kula bata next weekend, i want to enjoy ila sijui niende wapi.
Am an indoor person, hua sitoki toki so nitajien sehemu ambazo kutakua maybe na kashow au karaoke au event yoyote nzuri nzuri ili nisiwe bored.
Mnitajie na mda plus kiingilio kama kipo nijipange.
Hata kama una harusi unaoa nialikeuna kipaimara sijui birthday party we nialike tu. Nimeuchoka u anti social ati.
 
Out nzuri ni lazima uwe na company ukiwa pekee yako still utakuwa bored....ila sehemu nzuri kuna club 71 tegeta..samaki samaki ya masaki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom