Nimeamua nitoe robo ya mahari

Nakazie MXIEEEEEEWWW
 
Kwa ulivomshauri apo mwenzio wala sikujibu nilichitakiwa kukujibu..maelezo yako yamekudifine vzur sana...KAMA HUKUWAI SOMA JITAHIDI ATA KUPITIA BOOKS MBALIMBALI..utaongeza uwezo wa kufikiri.
 
Peleka barua weka na ela kidogo unamchukua jumla huyo
 

Nasikia hii ndiyo technique yenu siku hizi mnaenda ukweni kabisa kujitambulisha na kufake kama ndoa itatokea then mnakimbia

Mnawafanya wawe na mashaka na upendo hao wepenzi wenu, kuweni na huruma si vizuri
 
Dada we acha tu na hayo ndo yatamfanya Allah awe na hasira na sisi siku ya kiama
Ya Allah kuelekea mwezi wa dhulhijja tunakuomba utukinge na matamanio utuepushe na zinaa...

Amiin
Wanaume mungu anawaona lakin
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…