Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 185
- Thread starter
-
- #61
nashukuru kwa ushauri mzuriSiungi mkono uamuzi wako kwa sababu mtoto anahitaji mapenzi ya Wazazi wote wawili na kuwa single mother siyo rahisi kama unavyofikiria hata kama una mapesa ya kumwaga kwa sababu malezi ya mtoto si kuwa na pesa tu, jifikirie mwenyewe maana inaelekea umelelewa katika nyumba ya Baba na Mama, hivi mzazi wako mmoja angeamua kukutorosha na kutomjua Baba/Mama yako katika huu umri wa utu uzima ungejisikiaje kwa kutomfahamu Baba/Mama yako? Unachotaka kukifanya cha kupata mimba halafu kuingia mitini si sawa hata kidogo umekuwa very selfish na kujifikiria wewe tu badala ya kuwafikiria wahusika wengine wawili huyo atakayekutia mimba na mtoto atakayezaliwa.
nashukuru kwa ushauri mzuri
basi sitatoroka wala sitamficha baba mtoto wake hatakama hatakua anamuhitaji ila kuzaa muhimu
nafurahi zaidi. Nipo salama kabisa.
Nashukuru kusikia hivyo, una mpango wa kukesha leo?
Halafu wewe subiri tu....nipo kwenye zoezi mwenzio. Nataka niombe umod wa shift ya night. Lol.
Halafu wewe subiri tu....
Yaani unanitafuta ujue unataka mashauzi eheee nakusoma tu kwa mbali.....hivi watoto wenye umri chini ya miaka 50 mnaruhusiwa kukesha jf? Ukijibu swali kesho uje upate lunch.
Yaani unanitafuta ujue unataka mashauzi eheee nakusoma tu kwa mbali.....
Utajijuuu, unalo babuuu limekugandaaa...lolheee! Una undugu na mzee yusufu?
Utajijuuu, unalo babuuu limekugandaaa...lol
Dah! Hicho kicheko hadi majirani wameamka...lolhahahahahahaha! Mama weeeeeeee!
Dah! Hicho kicheko hadi majirani wameamka...lol
Uwepo wa Baba watosha sana....
Right on bro
Just because Mr so and so isn't responsible it doesn't mean men aren't needed to raise a child. There is a good reason why you need both parents to make a baby and so does raising it. Revolutionary speaking, a female human needs to choose the right male who will stick around long enough until their offsprings are able to pass on their genes.
Children learn by observing others, especially their authority figures, role playing everything early on in their life. If one parent is missing they end up being adults who lack something, that something could be anything. Now if a woman chooses a wrong partner who is abusive, then that is her problem but don't tell me that it's OK to just pick a random guy, have him pregnant you, so you can raise a child by yourself. I've seen it many times women doing this, "oh! I can raise my child by myself" only to get her kids messed up in the head, get on drugs or become dysfunctional.
Even though some kids turn out good the numbers don't lie, most don't.
Single parenting is an issue that is costing our societies, the results of many studies reveal that, kids raised by single mothers tend to misbehave twice as much as those raised by both parents. So this thing of "I can do all by myself" is hurting all of us as a society, instead, let us be careful on which one we choose to bed with, so our children can have a chance to have both parents in their lives.
Read on single parenting issues
Hayo ni maamuzi ya upofu ndg yangu. Nina uzoefu wa kukutana na wanawake wanne tofauti na mikoa tofauti ambao wakati wa ujana wao walikuwa na hulka ya kuwa single parents.Hongera kwa maamuzi magumu mama nanihii mtarajiwa.
That is true that they are worthless but It does make a big impact to a child if daddy isn't around.I never said they aren't needed....
I just said that fathers that are not responsible are worthless...and their not being around doesn't make much of a diference.
Alafu unaposema kwamba mtu anapokua sio responsible haina maana hahitajiki kulea una maana gani??
Hapana bali tatizo litaonekana kwa familiaKutokua responsible sindo kutokulea kwenyewe au uwepo wake tu kama gogo unaleta tofauti???
Kuhusu watu wakuwaangalia..kujifunza kutoka kwao wapo wengi ambao sio baba zao ila wanaweza chukua huyo nafasi na kuitumia vizuri sana! Kuna wajomba na marafiki ambao wako more involved kuliko baadhi ya baba wazazi wanavyoweza hata kutamani kuwa.Kwahiyo bado nasimamia point yangu kwamba baba asiyejishughulisha ni sawa na asiyekuwepo...na kwasababu tu baba mzazi hayupo haina maana mtoto ''analazimika kukua bila male figure maishani mwake''