Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 185
nitakua excelent mother and single parent nimeamuaWell hongera!!
Hakikisha tu kwamba maisha ya umama utayaweza..being a good mother is not EASY!!
ina kichwa maskini wa mungu mimi sijui nifanyeje? Mwezi uliopitasamahani sikusoma post yako labda utupe iyo link naweza changia vizuri zaidi...........
wapo ndugu yangu,siku moja nilikwenda kumtembelea ndugu yangu pale katika hospital moja ya private,sasa katika kile chumba kilikuwa na wagonjwa wawili,baaada ya kumtambua hali bi dada ambaye alikuwa chumba kimoja na huyu mgonjwa niliyekwenda kumtembelea, huyu dada aliniomba nifanye naye mapenzi ili mradi asife na bikra yake, mie nikadhani ndio anaanza kuugua ukichaa,ila niligoma sikuafanya vile alivyotaka na yeye akaaga dunia.mumeona iwanaume tulivyo 'miujiza' eeh?
yaani mtu kukupa mimba yupo..
mtu wa kukuondolea hamu yupo
but mtu wa 'kukuoa' ndo hakuna...
hakuna mwanamke 'anaekufa bikira'
fact...
wapo ndugu yangu,siku moja nilikwenda kumtembelea ndugu yangu pale katika hospital moja ya private,sasa katika kile chumba kilikuwa na wagonjwa wawili,baaada ya kumtambua hali bi dada ambaye alikuwa chumba kimoja na huyu mgonjwa niliyekwenda kumtembelea, huyu dada aliniomba nifanye naye mapenzi ili mradi asife na bikra yake,mie nikadhani ndio anaanza kuugua ukichaa,ila niligoma sikuafanya vile alivyotaka na yeye akaaga dunia.Nalog off
mmh! washawasha na ww lol!! ndo maana shangazi alikutembea mbovu kwa mkeo!!hiyo mimba ikiharibika nitafute nikutie nyingine.Nalog off
napenda kutuma salamu kwa baba yangu aliye nchi sa nje Mlogolo.Nalog offhaya tuma salamu lol...
lakini si inawezekana ikaharibika? mie ningemshauri asubiri mpaka atakapojifungua ndio aangalie ustaarabu mwengine.mmh! washawasha na ww lol!! ndo maana shangazi alikutembea mbovu kwa mkeo!!