Nimeamua kuwa member

Evelyn

New Member
Joined
Aug 6, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Jamani nimekuwa naperuzi jf km guest na niliijua jf kupitia kwa dada yangu mpendwa na tokea siku nimeiperuzi kwa mara ya kwanza nikajilaumu kwa nini sikuijua tokea zamani. Jamani jf ipo juu sana na leo nimeamua kuwa member rasmi. Nawasalimu wote.
 
karibu aloo kila kitu umeshalipiwa we longa tu!
 
Ingia tuu usihofu.ila vua nguo.......aaaah sory vua viatu.
 
Nasi tunakusalimu, karibu sana jamvini. Jisikie nyumbani kabisa.
 
mi nataka kujua tu kama hujaolewa ili niku PM kwani natafuta mchumba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…