Chagua ku cheat chagua ukimwi2012 dunia yako chaguo lako!
Wakikupa wachareze tu.
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution ninayoiona ni kutokuwa serious kwenye mahusiano na kudanganya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidanganya. This world is not fair kabisaaaaa, unachotenda sicho unacholipwa. Ninajua kuwa cheater sio vizuri lakini nifanye nini wakati dunia sio fair?? niwe natenda wema alafu malipo kwa Mungu hadi lini?? Dunia ya leo kila kitu kinapelekwa kisanii hivyo na mimi nimeamua niishi kisanii kuanzia mwaka 2012.
Chagua ku-enjoy!2012 dunia yako chaguo lako!Chagua ku cheat chagua ukimwi
Kwahiyo unatoa taarifa ili upate washiriki au. . . . ?[/QU
Aaargh anatishia tu huyoooo..........kama yupo serious aende mafunzo kwa vitendo SHIVAZ
Unaongea kana kwamba bila "ngoma" we all'll be immortal.wanadamu hao hao unaowaletea uchui ndo watakuweka ardhini. Hi dunia si mchezo.
.
Namuunga mkono kucharaza ila sababu yake ya kucharaza siiungi mkono.