Differential Equations
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 204
- 200
Usijitie ulemavu katika umri huo mdogo tangu lini umeona mdeni kafungwa?Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo
Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30
Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???
KWANI WAKATI UNAKOPESHWA HUKUFAHAMU KUWA UTATAKIWA KULIPA DENI? NJOO NIKUPE KAZI UENDE KULIPA DENI, ILA SIKU NYINGINE KUWA MAKINI!Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo
Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30
Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???
Haaaaaaaaaaaaatetetetete sosinje atawafanya muuze hadi watoto wenu.2020 usifanye kosa.
swissme
Kuuza kiungo ni kosa kisheria.Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo
Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30
Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???
Acha kutania bwana!!!Ndg zangu habari zenu, mm mhitimu wa chuo kikuu niliyesoma masomo ya arts na kuambiwa sitopewa ajira huku nikidaiwa pesa na loan board zipatazo milioni 15 nimeamua kuuza figo yangu ya kulia ili nilipe deni hilo
Figo hiyo nimepata mteja anataka kunipa milioni 30
Ushauri wenu ndg zangu vipi niuze hiyo figo ili nilipe deni???
KWANI WAKATI UNAKOPESHWA HUKUFAHAMU KUWA UTATAKIWA KULIPA DENI? NJOO NIKUPE KAZI UENDE KULIPA DENI, ILA SIKU NYINGINE KUWA MAKINI!