Nimeamua kutulia nae, lakini...

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Habari wana JF...

Baada ya maumivu makali ya kipindi cha mda mrefu na mateso...sasa nimeamua kujituliza sehemu ambayo kweli nimependa,.najisikia upendwa,nasikilizwa na kudekezwa pia hamna nachokosa kwake.

Lakini mda mwingine napata hisia za tofauti,nahisi kama hatutafika mbali kama tunavyopanga kila leo.,sababu ni staa wa filamu anaejulikana sana na tena mda mrefu yupo kwenye hayo mambo ya filamu (siwezi kumtaja hapa wazi),.muda mwingi sipo nae japo tunawasiliana sana,na mda huo najikuta naingiwa na wivu sana,mara nyingi nikimuona akiwa anacheza sehemu za mapenzi najisikia tofauti,sijui ni hisia zangu tu au nini,.nilishawahi kumwambia navyojisikia akaniambia nisiwaze,kwani hyo ni kazi tu,lakini mapenz ni yetu!!.namuamini lakini mda mwingine naingiwa na hofu...
,hivi kweli tutafika!?..nasalitiwa nnje anapokuwa mbali kweli au hisia zangu zinanidanganya au ni wivu tu sielewi!!.kumpenda nampenda sana naogopa kumpoteza na natamani tufikie malengo yetu!.
Nisaidieni kama ni hisia tu nifanyeje kuzitoa?
 
Waigizaji+ wasanii sijui wanamuziki

Kuwa makini


||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
Makubwa sana haya Yaani kumpenda umpende wewe halafu msaada wa mawazo tukupe sisi? Kwa mfano tukisema achana nae atakuletea UKIMWI utasemaje? Haya njoo kwangu basi
 
ukimpenda mtu maarufu unatakiwa uhesabu gharama za kuwa nae
na mojawapo ni hiyo inahitaji uwe na moyo wa chuma kusongesha penzi lenu mbele madam kasema anakupenda na unaona kwake umefika jipe moyo uko pekeee yako usiwaze sana utajikondesha
 
Waigizaji+ wasanii sijui wanamuziki

Kuwa makini


||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||

kwanini umesema hvo?
 
ukimpenda mtu maarufu unatakiwa uhesabu gharama za kuwa nae
na mojawapo ni hiyo inahitaji uwe na moyo wa chuma kusongesha penzi lenu mbele madam kasema anakupenda na unaona kwake umefika jipe moyo uko pekeee yako usiwaze sana utajikondesha

najitahidi ivo lakini....mh ntafanya hvo mama
 
His full time job ni kuigiza au ana kazi ingine?
 
Naamini mpaka umefungua moyo wako kwake una imani kuwa ni muaminifu kwako.
Endelea kuamini hivyo kama hajakupa sababu yoyote ya kufikiri vingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…