Ila. Kwelii kama. Na kuelewa vileMtoa maada, moja ya source kubwa ya income ni tourism. Watalii hawaletwi na Mabasi na coasters. Watalii hawatoki Bunju wala Ifakara kaka.
hakuna cha utalii wala mama take utalii .muda utazungumzaMtoa maada, moja ya source kubwa ya income ni tourism. Watalii hawaletwi na Mabasi na coasters. Watalii hawatoki Bunju wala Ifakara kaka.
Kwa nini wao tuwauzie sisi tuna shindwa nini kuendesha baadae zitapata tu faids
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa maada, moja ya source kubwa ya income ni tourism. Watalii hawaletwi na Mabasi na coasters. Watalii hawatoki Bunju wala Ifakara kaka.
Ni biashara gani tulishawahi kuifanya kama Taifa na tukafanikiwa?Sisi hatuiwez hio biashara!!!
Mh.Rais najua wafuasi wako wapo humu jukwaani kama siyo wewe mwenyewe,naipenda nchi yangu Tanzania na kwa mantiki hiyo napaswa kukutambua kama Rais wa Taifa langu hata kama sikupendi
Najua umefanya juhudi kubwa sana za kutukamua Watanzania mpaka umenunua ndege,najua umetumia nguvu nyingi sana kwenye korosho na matokeo yanaonekana,najua watumishi wa umma wanafuraha sana kwa kasi tunayoenda nao,hao wanaosema hali ni mbaya sijui uchumi umeshuka wote ni wachochezi wanaotumwa na mabeberu
Wanasiasa wanaolalamika kwamba demokrasia imeminywa;hawajui kuwa umefanya hivyo kwa nia njema ili Watanzania wafanye kazi japo kazi ya mwanasiasa ni kufanya kazi...hao pia hawajui kuwa sisi wana-ccm tunajua kuwa tukiruhusu mikutano ya kisiasa wataenda kuwaambia wananchi ukweli
Yote tisa, kumi nataka nikushaur vzr Rais wa Wanyonge (kama ambavyo huwa unajiita mwenyewe) na huu ndyo ushaur wangu usome kupitia jamii forum
Unapaswa kuuza ndege zote ulizozinunua kabla hazijatuletea hasara kubwa kupindukia kwa kuwa siioni kama kuna mwisho mzur wa ndege hizo
Baada ya kuziuza ndege hizo nunua mabasi ya mikoani ya serikali pamoja na mabasi madogo aina ya coaster
Haya mabasi ya abiria yatakuwa yanafanya safar za mikoani kwa nauli pungufu ukilinganisha na mabasi ya watu binafsi,mfano basi la Magufuli likiondoka Dar to Mwanza linapaswa kufika siku hiyo hiyo bila kulala njiani
Haya mabasi madogo aina ya coaster yatakuwa yanafanya safar za wilaya to wilaya na baada ya mwaka mmoja unaweza kukusanya fedha nyingi sana
Pia,kwenye ndege unawaachia wawekezaji hasa wahindi ambao wao wanaonekana kuwa wako vzr sana kwenye biashara ya usafiri wa anga
Hapo lazma utatoboa na biashara zote unazotaka kuzifanya hakikisha kuwa umezungumza na watu wanaozifaham biashara hizo vzr kabla hujaingiza miguu yote kama kwenye Bombardiers
Upokee ushaur huo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuhakuna cha utalii wala mama take utalii .muda utazungumza
Mtu humpendi utampaje ushauri mzuri?Mh.Rais najua wafuasi wako wapo humu jukwaani kama siyo wewe mwenyewe,naipenda nchi yangu Tanzania na kwa mantiki hiyo napaswa kukutambua kama Rais wa Taifa langu hata kama sikupendi
Najua umefanya juhudi kubwa sana za kutukamua Watanzania mpaka umenunua ndege,najua umetumia nguvu nyingi sana kwenye korosho na matokeo yanaonekana,najua watumishi wa umma wanafuraha sana kwa kasi tunayoenda nao,hao wanaosema hali ni mbaya sijui uchumi umeshuka wote ni wachochezi wanaotumwa na mabeberu
Wanasiasa wanaolalamika kwamba demokrasia imeminywa;hawajui kuwa umefanya hivyo kwa nia njema ili Watanzania wafanye kazi japo kazi ya mwanasiasa ni kufanya kazi...hao pia hawajui kuwa sisi wana-ccm tunajua kuwa tukiruhusu mikutano ya kisiasa wataenda kuwaambia wananchi ukweli
Yote tisa, kumi nataka nikushaur vzr Rais wa Wanyonge (kama ambavyo huwa unajiita mwenyewe) na huu ndyo ushaur wangu usome kupitia jamii forum
Unapaswa kuuza ndege zote ulizozinunua kabla hazijatuletea hasara kubwa kupindukia kwa kuwa siioni kama kuna mwisho mzur wa ndege hizo
Baada ya kuziuza ndege hizo nunua mabasi ya mikoani ya serikali pamoja na mabasi madogo aina ya coaster
Haya mabasi ya abiria yatakuwa yanafanya safar za mikoani kwa nauli pungufu ukilinganisha na mabasi ya watu binafsi,mfano basi la Magufuli likiondoka Dar to Mwanza linapaswa kufika siku hiyo hiyo bila kulala njiani
Haya mabasi madogo aina ya coaster yatakuwa yanafanya safar za wilaya to wilaya na baada ya mwaka mmoja unaweza kukusanya fedha nyingi sana
Pia,kwenye ndege unawaachia wawekezaji hasa wahindi ambao wao wanaonekana kuwa wako vzr sana kwenye biashara ya usafiri wa anga
Hapo lazma utatoboa na biashara zote unazotaka kuzifanya hakikisha kuwa umezungumza na watu wanaozifaham biashara hizo vzr kabla hujaingiza miguu yote kama kwenye Bombardiers
Upokee ushaur huo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vzr hiyo thread na uielewe!Mtoa maada, moja ya source kubwa ya income ni tourism. Watalii hawaletwi na Mabasi na coasters. Watalii hawatoki Bunju wala Ifakara kaka.
Atataniaje ukweli?Sema kama unatania tutakuelewa!
Ni biashara gani tulishawahi kuifanya kama Taifa na tukafanikiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua unajua kuwa wale wanaccm wa humu ni wanafiki wa kiwango cha ukuta wa Mexico na USA! Mmojawapo ni huyu barbarosa na johnthebapist wanaong'ata na kupuliza mithili ya panya! Ukiwasoma kwa makini na kwa lugha ya kifasihi utawagundua walivyo mant-ccm et al!Atataniaje ukweli?