R Rajabmbisha JF-Expert Member Joined Apr 9, 2024 Posts 316 Reaction score 533 Jan 24, 2025 Thread starter #81 KikulachoChako said: Umepiga mara nyingi au amekuuzia mara nyingi.....wewe kaa kando ameshapata mwenye kutoa hela kubwa kuliko wewe Click to expand... Nimepiga for free,Kuna mda Nampa,hivyo tu hajawahi kuniuzia,mwanzoni upend ulikuwepo wa kutosha
KikulachoChako said: Umepiga mara nyingi au amekuuzia mara nyingi.....wewe kaa kando ameshapata mwenye kutoa hela kubwa kuliko wewe Click to expand... Nimepiga for free,Kuna mda Nampa,hivyo tu hajawahi kuniuzia,mwanzoni upend ulikuwepo wa kutosha
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,958 Reaction score 40,290 Jan 24, 2025 #82 Rajabmbisha said: Nimepiga for free,Kuna mda Nampa,hivyo tu hajawahi kuniuzia,mwanzoni upend ulikuwepo wa kutosha Click to expand... Basi ulikuwa unatibu jeraha alilopewa na mwanaume mwengine.....ndio maana baada ya kupona anakuona kinyago
Rajabmbisha said: Nimepiga for free,Kuna mda Nampa,hivyo tu hajawahi kuniuzia,mwanzoni upend ulikuwepo wa kutosha Click to expand... Basi ulikuwa unatibu jeraha alilopewa na mwanaume mwengine.....ndio maana baada ya kupona anakuona kinyago
R Rajabmbisha JF-Expert Member Joined Apr 9, 2024 Posts 316 Reaction score 533 Jan 24, 2025 Thread starter #83 Simon10 said: Ukiachwa achika, Don't chase, replace Click to expand... Nimekubali kusonga mbele,hivyo tu,
Simon10 said: Ukiachwa achika, Don't chase, replace Click to expand... Nimekubali kusonga mbele,hivyo tu,
R Rajabmbisha JF-Expert Member Joined Apr 9, 2024 Posts 316 Reaction score 533 Jan 24, 2025 Thread starter #84 realMamy said: Kuna kipengele hajakielewa toka kwako ππππ kama kila siku sina hela! Kuna mchongo nasikilizia π€ndo matokeo yake hayo. Click to expand... Mkuu nimekubali matokeo hata hivyo
realMamy said: Kuna kipengele hajakielewa toka kwako ππππ kama kila siku sina hela! Kuna mchongo nasikilizia π€ndo matokeo yake hayo. Click to expand... Mkuu nimekubali matokeo hata hivyo
MrsPablo1 JF-Expert Member Joined Jun 9, 2013 Posts 1,221 Reaction score 2,296 Jan 24, 2025 #85 Unatuma message mchana anajibu usiku Unatuma message usiku anajibu mchana Unatuma message mchana anajibu usiku View: https://youtu.be/xlkwRl4tPhQ?si=iHNy_rPF8cNyJ88e
Unatuma message mchana anajibu usiku Unatuma message usiku anajibu mchana Unatuma message mchana anajibu usiku View: https://youtu.be/xlkwRl4tPhQ?si=iHNy_rPF8cNyJ88e